cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
Inaonyesha hamisa baada ya kujua jamaa either bahili akatoa hyo mimba si bure. Ka alizaa na diamond licha ya kuchambwa na kwa mganga akaenda kuloga I think so aisee. Ila mwanamke kukosa akili na msimamo ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaogopa maneno ya walimwengu
Ila kashajiapia yule ni marufuku kuzaa na maskini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app




