Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,067
- 34,829
So, atakuwa kisha mshuhulikia sana huyo paka mpaka ndoa!...
mmh jamani shetani atakimbia dunioan mwaka huu manake mh.....kuna mengi ye hayajui...mungu aje tu afunge sayari yake......mwozeshaji na mwoaji wote wana tatizo fulani vichwani mwao. Hata hivyo yawezekana huyo alieolewa si paka bali ni shetani/jini katka umbo la PAKA.