Mjengo wa Drogba Noma Sana

Mjengo wa Drogba Noma Sana

a.k.a_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
292
Reaction score
113
Kweli Fanya Kazi kama mtumwa uishi Kama mfalme, dah! The King Drogba ndiyo mchezaji pekee duniani mwenye Mjengo wenye thamani kubwa zaidi uliomgharimu paundi mil 14 point kadhaa. Maelezo zaidi.

attachment.php
 

Attachments

  • 1421037903655.jpg
    1421037903655.jpg
    32.2 KB · Views: 5,380
Unaweza kosa maamuzi ukajikuta umemaliza usiku kwa kugikiria chumba cha kulala!!
 
Kwa fedha alizonazo anastahili kuwa na mjengo huo...
 
Sijui ni ushamba ila huwa sipendi vitu complicated.Sasa huo mjengo wote wa nini?
 
hvyo hiyo gharama hiyo nyumba ina nn cha zaidi zaidi, au ipo kwenye eneo kubwa sana ndo wamethaminisha pamoja na hyo nyumba?
 
tuache majungu watz, tumwache kwani hela ndo ilivyomruhusu, na wewe hela iliyokuruhusu ni kuendesha kibaby walker(vitz) na kupanga chumba na sebule Sinza
 
Back
Top Bottom