Mjamzito bila condom ni sawa?

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Wana Jf habare za wiki end ninaomba msaada wetu tafaradh mana leo hasubuh hasubuh nimepokea simu ya mshikaji wangu au best yangu akiniuliza eti hajafanya makosa kufanyanae mapenz mke wake bila kutumia condom mana mkewe ni mjamzito wa miezi minne sasa. Na miezi yote ya nyuma alikuwa anatumia condom katika tendo je? Kufanya hvyo hajafanya makosa. Ushauri wenu tafadhar mana hata mm nimeshindwa kumjibu vizur mana ninasikiaga mkeo akiwa mjamzito kunakuwa na hili mara lile hebu msaada wenu tafadhar?
 
Kama mwenye mimba ni mke wake rukusa kufanya naye bila kondom.KUNA FAIDA ZAKE NA MUHIMU SANA
 
mhh na wewe mtoto hafanyi lolote wala haihusiani we peleka mzigo tu
 
mtoto kufanya nn? hamna tatizo, dogo ashafungiwa kwenye ukumbi wake na hamna kinachomgusa kutika nje....yupo sterile kabsaaa.

kabisa mkuu

nilionaga hii kwenye kitabu fulani mmh

Your developing baby is protected by the amniotic fluid in your uterus, as well as the mucous plug that blocks the cervix throughout most of your pregnancy. Sexual activity won't affect your baby.
 
Lakini mbona wangu huwa anasikia maumivu makali wakati na du, nini huwa inasababisha
 
Usihofu akipiti kitu ndugu yangu,we kula tu ila hakikisha ni mkeo usije ukavunja ndoa ya watu he he he
 
Mhmm nadhani kuna tatizo hapa! hasa kwa sisi wachangiaji, Kwanini kazi ya Kondom ni nini? au alikuwa anaitumia kwa ajili ya nini huko nyuma? nadhani hili swali ni sehemu muhimu ya ushauri wowote hapa!
 
Kimsingi tangu dk yakwanza mke kushika mimba unaruhusiwa kushiriki nae tena bila kondom mpaka miezi mitatu ya mwisho lakini kwa staili tofauti ili kumuepusha na maumivu!
 
Weka masikio na vimiguu wewe acha kumnyima virutubisho dogo ila style uwe makini si ya baba na mama
 
Lakini mbona wangu huwa anasikia maumivu makali wakati na du, nini huwa inasababisha

Inaweza ikawa ni position mnayotumia halafu push in and out inabidi iwe soft siyo kwa fujo..vinginevyo, muende hospital mana inategemea mimba ni ya miezi ngapi asije akwada na tatizo lingine tofauti.

Murefu: Mwambie rafiki yako haina shaka kabisa bila co na anaweza kuendelea mpaka mama akikaribia EDD..
 
samahan mm ni mgen kidogo kwny hili hauwez sijui kusababisha mtoto kufanya nini sijui

nani kakwambia ule uji ukiingia ndani kwa mwanamke ni uchafu?
hauna madhara yeyote kiafya,iwe kwa mwanamke au huyo mtoto,
sana sana ni virutubisho kwa akina mama lol...
 
Back
Top Bottom