KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,758
- 39,493
Wasalaam.
Tangu niwe mtu mzima sijawahi kusikia mapenzi yamekamilika.
Kila siku nasikia visa vya kimapenzi, huyu kanywa sumu, huyu kamchinja mpenzi wake, huyu anafurahia mapenzi, huyu analia ametendwa, mwengine anaapa kuwa hatopenda tena.
But after sometime vidonda vinapona na tunapenda tena.