Nakushauri tafuta daktari bingwa kwanza ..kama huyo akishindwa kuona tatizo tambua ya kwamba kuna mtu alikuotea akaokota pedi yako akafanya yakeNi mwezi wa pili damu zinatoka sio nyingi ni kiasi chake na maumivu makali ya tumbo
Umechapia kidogo hebu rekebisha hapo kwenye mangoUnatumia uzazi wa mango?
Nakushauri tafuta daktari bingwa kwanza ..kama huyo akishindwa kuona tatizo tambua ya kwamba kuna mtu alikuotea akaokota pedi yako akafanya yake
uli attempt abortionNi mwezi wa pili damu zinatoka sio nyingi ni kiasi chake na maumivu makali ya tumbo
uli attempt abortion
Geuka kwenye maombezi mdada, nenda kawe kwa Mwamposa hali yako itakua sawaNilishaenda hospitali na kuonana na madaktari wa kina mama na kikafanyiwa utrasound hakuna tatizo na nmetumia dawa mpk nmechoka sasa
Labda hilo la kuchukuliwa ped lakni siamini
unazijua primolute N?
Geuka kwenye maombezi mdada, nenda kawe kwa Mwamposa hali yako itakua sawa
zinakata Period na kuweka sawa mzunguko.Huwa nazisikia sijawahi kutumia
zinakata Period na kuweka sawa mzunguko.
mimi nilibleed mwezi mmoja nimapewa hizo Primolute N za kunywa siku30 ukimaliza tu unableed kawaida na mzunguko unakaa sawa kabisa... na siku ya kwanz kunywa tu bleed inakata
kunywa hizi isipokata fanya mengine ila naziamini sana maana hata wasiotaka kubleed huwa wanapostpone kwa kutumia hizi
Mimi hutumia miziz ya turatura, naichimba halafu naichemsha kama dakika 5 hivi halafu nampa katika kijiko kidogo cha chai, kuna siku namshkur muumba ilisaidia sana, dogo alilia sana ma mtu akawa haelewi, niliporudi akanisimulia nilichofanya nikamkagua gololi zake nikakuta zimebadilika rangi zimekuwa nyekunduu nikajua chango la ngiri, nikamchemshia hiyo kitu fasta akatulia.Kwema wakuu...mwanangu ana wiki 2 na siku 1. Ni siku ya pili leo amekuwa akilia sana kwa nguvu mida ya usiku huku akijikunja. Tulimpa dawa Gripe Water lakini anatulia na kuendelea kulia. Je kuna dawa nyingine ya kienyeji inaweza kusaidia?