Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

Ni mwezi wa pili damu zinatoka sio nyingi ni kiasi chake na maumivu makali ya tumbo
Nakushauri tafuta daktari bingwa kwanza ..kama huyo akishindwa kuona tatizo tambua ya kwamba kuna mtu alikuotea akaokota pedi yako akafanya yake
 
Nakushauri tafuta daktari bingwa kwanza ..kama huyo akishindwa kuona tatizo tambua ya kwamba kuna mtu alikuotea akaokota pedi yako akafanya yake

Nilishaenda hospitali na kuonana na madaktari wa kina mama na kikafanyiwa utrasound hakuna tatizo na nmetumia dawa mpk nmechoka sasa
Labda hilo la kuchukuliwa ped lakni siamini
 
Nilishaenda hospitali na kuonana na madaktari wa kina mama na kikafanyiwa utrasound hakuna tatizo na nmetumia dawa mpk nmechoka sasa
Labda hilo la kuchukuliwa ped lakni siamini
Geuka kwenye maombezi mdada, nenda kawe kwa Mwamposa hali yako itakua sawa
 
Huwa nazisikia sijawahi kutumia
zinakata Period na kuweka sawa mzunguko.
mimi nilibleed mwezi mmoja nimapewa hizo Primolute N za kunywa siku30 ukimaliza tu unableed kawaida na mzunguko unakaa sawa kabisa... na siku ya kwanz kunywa tu bleed inakata
kunywa hizi isipokata fanya mengine ila naziamini sana maana hata wasiotaka kubleed huwa wanapostpone kwa kutumia hizi
 
Asante dear nitalifanyia kazi
 
Kwema wakuu...mwanangu ana wiki 2 na siku 1. Ni siku ya pili leo amekuwa akilia sana kwa nguvu mida ya usiku huku akijikunja. Tulimpa dawa Gripe Water lakini anatulia na kuendelea kulia. Je kuna dawa nyingine ya kienyeji inaweza kusaidia?
 
Duh poleni sana aisee. Ngoja wajuvi watakuja aisee.
Samahani chango ni ugonjwa gani mkuu.
 
Kwema wakuu...mwanangu ana wiki 2 na siku 1. Ni siku ya pili leo amekuwa akilia sana kwa nguvu mida ya usiku huku akijikunja. Tulimpa dawa Gripe Water lakini anatulia na kuendelea kulia. Je kuna dawa nyingine ya kienyeji inaweza kusaidia?
Mimi hutumia miziz ya turatura, naichimba halafu naichemsha kama dakika 5 hivi halafu nampa katika kijiko kidogo cha chai, kuna siku namshkur muumba ilisaidia sana, dogo alilia sana ma mtu akawa haelewi, niliporudi akanisimulia nilichofanya nikamkagua gololi zake nikakuta zimebadilika rangi zimekuwa nyekunduu nikajua chango la ngiri, nikamchemshia hiyo kitu fasta akatulia.
 
Habari za kutwa!

Naombeni msaada, nimekuwa nikiumwa sana tumbo la hedhi linaniuma mnoo siwezi kufanya kitu chochote likiniuma. Nimetumia sana diclofenac na buscopan ila hazinisaidii sana nikitaka kupona kabisa nisisikie maumivu kabisa basi nichome sindano ya diclofenac.

Nilishawahi tumia magome fulani ukichemsha maji yanakuwa na wekundu ila haijanisaidia.

Naombeni msaada wenu mwenye kujua tiba niondokane na hili tatizo! Linanitesa sana
 
Drink enough of hot water around usiku wa manane na asubuhi mara tu baada ya kuamka, kabla hujapiga mswaki. Swallow with the hot water whatever is in your mouth asubuhi.

Plain hot water kama unavyokunywa chai -- don't add anything into it. Vikombe viwili na nusu, kuanzia siku mbili kabla ya tarehe yako hadi siku mbili baada. Hii ni remedy rahisi na madhubuti sana. Your body needs to flush. Una mafuta mengi mwilini!???
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom