Je, damu ya hedhi ya mwanamke ni sumu kwa mwanaume?

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu.

Tumekua tukitishwa sana na hawa dada zetu na mama zetu kwamba mwanamke akikulisha wewe mwanaume damu yake ya hedhi kuwa unakufa pole pole, jambo hili limepelekea pia baadhi ya wanaume kunyanyasika sana pindi wake zao/ wapenzi wao wanapokua katika siku zao na kujikuta kutumikishwa na wanawake wa wapo mwezini kwa kuogopa kuwekewa damu ya hedhi kwenye chakula maana hawa viumbe wakiwa kwenye siku zao wanakua visirani sana

Je, ni kweli kwamba damu ya hedhi ya mwanamke ina uwezo wa kumuua mwanaume kimnya kimnya na kwa muda mrefu kidogo pindi anapolishwa au kunyweshwa kwa namna yeyote ile au ni uvumi tuu wakututishia sisi wanaume ?
 
INAONEKANA HUKWENDA SHULE NA UNAMINI SANA USHIRIKINA, MIZIMU, JADI ZA KIJINGA, NA MAMBO KAMA HAYO!
KWAHIYO DAMU YA HEDHI NI SEPARATE FROM BLOOD FLOWING IN THE HEART?
 
Ndugu zangu.

Tumekua tukitishwa sana na hawa dada zetu na mama zetu kwamba mwanamke akikulisha wewe mwanaume damu yake ya hedhi kuwa unakufa pole pole, jambo hili limepelekea pia baadhi ya wanaume kunyanyasika sana pindi wake zao/ wapenzi wao wanapokua katika siku zao na kujikuta kutumikishwa na wanawake wa wapo mwezini kwa kuogopa kuwekewa damu ya hedhi kwenye chakula maana hawa viumbe wakiwa kwenye siku zao wanakua visirani sana

Je, ni kweli kwamba damu ya hedhi ya mwanamke ina uwezo wa kumuua mwanaume kimnya kimnya na kwa muda mrefu kidogo pindi anapolishwa au kunyweshwa kwa namna yeyote ile au ni uvumi tuu wakututishia sisi wanaume ?
Hayo Mengine achana nayo wewe Fuatwa Kunyanduana Uwsicuhunguze sana Aina ya Mitaro
 
Back
Top Bottom