Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 216
Naona umefika mbali, nahisi kama hii ndoa Zanzibar akiwa ni mwanamke na ndoa yenyewe ina matatizo yasiyokwisha...hii ni dalili ya mume kuwa senge au ana matatizo ya kusimama
Mzee umekusudia nini kufananisha muungano na ndoa?
huo haswa ndio mfano muafaka. ukioa halafu kla siku mnaorodhesha na mkeo hiki changu, hiki chako............... ndoa haifiki mbali!
ndoa imara wanandoa huchukulia kila kitu ni cha wote. haya wanayofanya wazanzibari ni sawa na wabeijing wafanyanvyo ndani ya ndoa! wanataka watunzwe na waume zao wakidai ni wajibu wa mume kumtunza na watoto, lakini mishahara yao ni yao wenyewe hata kama ni mikubwa kushinda ya waume zao!
ndoa ikivunjika wanataka tugawane mali tulizochuma pamoja hata kama hakuchangia moja kwa moja kwa kipato chake, atataka mgawane pari pasu.
zenji haipo bila muungano, mafuta hayapo bila muungano. smz haipo bila muungano, maalim seif haypo bila muungano, makubaliano ya seif na karume hayapo bila muungano........................ kwa ufupi bila muungano, zenji ni mbaya kuliko somalia ya sasa, amini usiamini..............................