Embu waambieni wapokee simu basi
Ndio, unaweza kulipa kwa visa kwa kutumia paypal. Lakini kwa leo umechelewa kwa sababu mjadala ndio unafungwa hivyo.Nika click itv jamaa wanasema channel is locked,input information.sasa mkuu embu nielekeze kama naweza kulipa kwa visa card ya currency ambayo si euro,kisha hizo infos naziingizaje...