Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Huwa hatuoi Kwa kuwa Mwanamke ni bikra

Huwa tunaoa baada ya kupima na kujiridhisha kwamba ni kweli ni chaguo sahihi kwako na Watoto ambao Mungu atawajalieni

Na Kwa taarifa, mahari huwa inakuwa negotiated na Mume/Mke Kwa upamoja wenu

Hakuna Mwanamke ambaye anaweza kumtajia mpenzi wake mahari kubwa wakati anajua fika uwezo wa mpenzi wake

Kwahiyo ongea naye kwamba una uwezo wa kumtolea mahari shilingi 500k, 1,000k ama 4,000k baada ya hapo ndiyo ataenda kuwaeleza Wazazi wake
1,000k ❌
1M ✅

4,000k❌
4M ✅
 
Sawa ila malaya hana bikra kwa hio ni yaleyale tu
malaya niwakupunguza tu upwiru hawana jipya bora mke wako ila tatizo karn hii wake wema wameadimika sai ndoa ngumu upendo haupo ndoh maana wengi tuwakataa ndoa maana tushapigwa vimbunga vya hatar mateso masikitiko sio bure wanaume wanakufa kila uchao jamani kabur saiv imekuwa ya wanaume ndoh unaona Tanzania wanawake ni weng kulk wanaume wanaume wengi wamo makaburin presha,ugonjwa wa moyo,kujitia kitanzi jaman wanaume kwa nn mnakubal kabur kuwa makaz yen na kataa ndoa ipo
 
Mimi nishaoa tayari kitambo Sana naelewa ninachosema....Nafkri uoeni hao hao ili mpunguze jam.
Haya sawa na mimi wake zangu wote wapo humu humu na hapa wameniona nimekujibu haya sema jingine, wake zangu mkipita mwambieni huyu ajitambue sio wanawake ninawake
 
IMG-20260520-WA0348.jpg
 
Hayo ni maisha yako uliyo yachagua na hayamuhusu mtu yeyote yule isipokua wewe peke yako tu,

Sasa lengo la kuwaambia wengine juu ya uamuzi wako ni lipi? Hujiamini na maamuzi yako? Unatafuta public validation?
 
Hovyo kabisa sijawahi kuona mwanaume wa hivyo labia kibamia na hata yeye si kwamba anaichukia ni vile kiatu hakimtoshi 😎
 
Back
Top Bottom