Vpn01
JF-Expert Member
- Apr 8, 2024
- 256
- 851
Nikuhakikishie jambo moja, ukija kuishi na single mother utakuja kupata sababu za kwa nini aliachana na mzazi mwenzie!Uhakika mkuu nasikia ukimuoa hawezi kukuacha na atajitahidi kujiepusha na makosa maana mara nyingi single mothers huwa wanajiona hawastqhili kwahiyo atqjitahidi kujishusha kwako