Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Nimeshanegotiate sana, wakasema 4m wakati kisa nimemkuta Bikra Sasa nikumuacha bikra utarudi em nisaidie??
Huwa hatuoi Kwa kuwa Mwanamke ni bikra

Huwa tunaoa baada ya kupima na kujiridhisha kwamba ni kweli ni chaguo sahihi kwako na Watoto ambao Mungu atawajalieni

Na Kwa taarifa, mahari huwa inakuwa negotiated na Mume/Mke Kwa upamoja wenu

Hakuna Mwanamke ambaye anaweza kumtajia mpenzi wake mahari kubwa wakati anajua fika uwezo wa mpenzi wake

Kwahiyo ongea naye kwamba una uwezo wa kumtolea mahari shilingi 500k, 1,000k ama 4,000k baada ya hapo ndiyo ataenda kuwaeleza Wazazi wake
 
Kuna maneno ya chini chini wanadai jamaa kama katusaliti na anaelekea kufunga ndoa.

Kwa type ya hawa watu tuna kuja na No reform No marriage.
IMG_1561.jpeg
 
Ndoa ni dhana potovu iliyo pitwa na wakati.Hata ndoa ukiangalia mazingira yake saiv haivutii. Ndoa n utapel unaotumika kulaghai watu kwan usipooa haupati furaha ya tendo.Kwanza enzi kale kulkuwa na mabikra saiv hamn

mtu anaoa mke aliyechakazwa na masela hata papuchi haifai isha kauka.ndoh maana na kataa ndoa maana ni utapel.Tafuta demu ish naye ila usimwoe punguz tu mzigo.
 
Ndoa ni dhana potovu iliyo pitwa na wakati.Hata ndoa ukiangalia mazingira yake saiv haivutii. Ndoa n utapel unaotumika kulaghai watu kwan usipooa haupati furaha ya tendo.Kwanza enzi kale kulkuwa na mabikra saiv hamn

mtu anaoa mke aliyechakazwa na masela hata papuchi haifai isha kauka.ndoh maana na kataa ndoa maana ni utapel.Tafuta demu ish naye ila usimwoe punguz tu mzigo.
Utakufa Vibaya Wewe....
Nakuonea Huruma....
In Pastor Magembe Voice
 
Wanaume tunataka mabikra au wasiotumika Sana wakati Sisi wenyewe tumechovya Mpaka basi.
Ni elastic ile kitu km rubber band kuna muda inatanuka kuna muda inarudi km ilivyokua kwa hio ni chaguo lako, kwani swali la msingi bikra mnayoisema ukishaichana inarudi vile vile au inakua vile vile si inakua isharoboka? Childish mindset
 
Prioritizing your own happiness while allowing others to do the same,it's a healthy lifestyle,
Focus on your own joy,remove the need to control others,

It's a self responsibility to pursue your own joy rather than living for others,
You cannot control others,

Live the life you love
Love the life you live.
 
Ni elastic ile kitu km rubber band kuna muda inatanuka kuna muda inarudi km ilivyokua kwa hio ni chaguo lako, kwani swali la msingi bikra mnayoisema ukishaichana inarudi vile vile au inakua vile vile si inakua isharoboka? Childish mindset.
Suala la Kuoa Lina mambo mengi Sana, mwanamke anayetumika Sana si wa Kuoa hata kidogo...kuna Aina ya wanawake wapo kwaajili ya kubalance tamaa ngono.
 
Back
Top Bottom