Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,850
"Ndoa ni jela"
Dizasta vina.
Dizasta vina.
Numerology...!??Tumia Numerology mkuu..
Pole iende kwake, Mimi sina nilichobakisha Zaidi ya kupiga chini mbwa huyuPole sana
SawaPole iende kwake, Mimi sina nilichobakisha Zaidi ya kupiga chini mbwa huyu
Piga chini kesho kuna Muhuni anamuoa hatoi hata ndama wa mbuzi anamuoa bure kabisaHuyu manzi bikra nimemtoa Mimi, nimekula vya kutosha ila mashauzi hayaishi...
Jeuri imekithiri....!
Pumbavu kabisa.
View attachment 3341244
Namba za kirumi yaan km hujaelewa hapo GoogleNumerology...!??
Nimeshanegotiate sana, wakasema 4m wakati kisa nimemkuta Bikra Sasa nikumuacha bikra utarudi em nisaidie??Mkuu hizo ng'ombe kumi (10) ni asking price
Try to negotiate with your hubby
I'm confident that, she will lower the dowry to 4 cows or less if you would be seen a serious
Oya niachie namba ukikaribia kupiga chini niendelee ulipoishiaNimeshanegotiate sana, wakasema 4m wakati kisa nimemkuta Bikra Sasa nikumuacha bikra utarudi em nisaidie??