Alikua anasisitiza matumizi ya Kinga ili amkinge mpenzi wake mwalimu wa kwaya dhidi ya magonjwa ya zinaaa kutoka kwako ....pole sanaWakuu,
Wakati mwingine kataa ndoa huwa wana hoja muhimu sana wasikilizwe.
Mimi nilioa miaka mitatu iliyopita,tukajaliwa kupata mtoto wa kiume mmoja,tangu mama mtoto wangu ajifungue miaka miwili iliyopita,hataki tuzichape kavukavu anasema tutumie condom,sababu kuu ni kuwa mtoto bado ni mdogo hivyo tusubiri angalau miaka 5 au 4 hivi ndipo tupate mwingine, sababu nyingine ni kuwa hali ya maisha bado ni duni tukipata mtoto mwingine tutashndwa kuwahudumia hivyo tujitafute kwanza.
Basi bwana matumizi ya condom yaliendelea na sikuwahi kuacha kutumia kondomu kwa kila tendo
Cha ajabu mwezi wa kwanza nimekuja kugundua mke wangu ni mjamzito,ndipo ulipoibuka ugomvi mzito kuwa mimba amempa nani, akawa ananificha
Ndipo nikaamua kuwaita wazazi wake, viongozi wa dini serikali na wazee wa kimila,akaulizwa aliyempatia mimba,ndipo alipomtaja kuwa ni mwalimu wa kwaya kanisani kwao aliyekuwa amekuja kanisani kwa muda sasa hayupo.
Nimemkimbia kwa sasa nipo mkoani kusaka maisha mapya.
Kataa ndoa wameshinda.
Mkuu amini nakuambia , Hata huyo mtoto wa Kwanza sio wako .Wakuu,

Hawa walimu wa kwaya ifike wakati wafundishe nyimbo wakiwa nyuma ya waimbaji maana wamezidi sasaNdipo nikaamua kuwaita wazazi wake, viongozi wa dini serikali na wazee wa kimila,akaulizwa aliyempatia mimba,ndipo alipomtaja kuwa ni mwalimu wa kwaya kanisani kwao aliyekuwa amekuja kanisani kwa muda sasa hayupo.
Wakuu,
Wakati mwingine kataa ndoa huwa wana hoja muhimu sana wasikilizwe.
Mimi nilioa miaka mitatu iliyopita,tukajaliwa kupata mtoto wa kiume mmoja,tangu mama mtoto wangu ajifungue miaka miwili iliyopita,hataki tuzichape kavukavu anasema tutumie condom,sababu kuu ni kuwa mtoto bado ni mdogo hivyo tusubiri angalau miaka 5 au 4 hivi ndipo tupate mwingine, sababu nyingine ni kuwa hali ya maisha bado ni duni tukipata mtoto mwingine tutashndwa kuwahudumia hivyo tujitafute kwanza.
Basi bwana matumizi ya condom yaliendelea na sikuwahi kuacha kutumia kondomu kwa kila tendo
Cha ajabu mwezi wa kwanza nimekuja kugundua mke wangu ni mjamzito,ndipo ulipoibuka ugomvi mzito kuwa mimba amempa nani, akawa ananificha
Ndipo nikaamua kuwaita wazazi wake, viongozi wa dini serikali na wazee wa kimila,akaulizwa aliyempatia mimba,ndipo alipomtaja kuwa ni mwalimu wa kwaya kanisani kwao aliyekuwa amekuja kanisani kwa muda sasa hayupo.
Nimemkimbia kwa sasa nipo mkoani kusaka maisha mapya.
Kataa ndoa wameshinda.
Kwann Sasa umekimbia kwako?Wakuu,

Duuh,yaani unayejulikana kwao,uvae koti jua Kali,mgeni avae tshirti!KimbiaWakuu,

sio mimi mkuu,ni jamaa yangu,ila nimeona nikilifikisha kupitia yeye itaonekana chai,hivyo mimi nikaamua nivae uhusika. Mimi bado sijaoaHii ni hadithi tu au story ya kutunga, sioni uhalisia hata kidogo, hata nukta ya feelings za ukweli katika story hii, yaani umeandika easily, with no pain and no shock, kwa sie watalaam wa hisia na mambo, hii ni chai kabisa, tukio kubwa kama hilo alafu uko no stress, uongo huu.
why mkuu.Baba yako ni mnyantuzu au mkuriya