Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

kama mbunye asali naipata Kila siku, nioe kutafuta nin??
1000006982.jpg
 
Sio hela tu wengine hawana nguvu za kiume ndo wanatafuta company.

Wengine waliharibu ndoto za mabinti wa watu, wale mabinti wakala viapo tuone kama ataoa, output ndo inaonekana humu mitandaoni, alafu wao wanafikiri ni akili zao.

Ukichanganya na matatizo sugu mwingine ashajiona hafai, watu watafute solution za matatizo yao waache kupinga asili, asili utaipingaje kama wewe sio towashi si unatafuta mabalaa...
 
Nakuunga mkono mara100000 vijana wa ovyooooh Kwa majina tunawahifadhi
 
Back
Top Bottom