Anataka mwanaume atakaefanya kazi ili yeye aishi maisha rahisi kadili iwezekanavyo, anataka mwanaume atakaemlipia bill zake, mwanaume atakaemmalizia matatizo yake.
Mwanaume huyu mtumwa anapata nini in return? Hakuna chochote ni maangaiko, maumivu na majuto kwa sababu mwanamke uyo haleti thamani yoyote mezani. She bring nothing on the table.
Ukiondoa sex kwenye mahusiano almost wanawake wote hawana cha kingine cha ku-offer
Gharama za maisha kwa mwanamke ambaye yupo single ni kubwa ukilinganisha na akiwa kwenye mahusiano, wakati gharama za maisha kwa mwanaume ambae yupo single ni ndogo ukilinganisha akiwa kwenye mahusiano. Unajua kwanini? Kwa sababu wanaume wengi ni watumwa kwenye mahusiano yao.
Listen brothers, the harsh truth is, if you spend your life bending over backward, sacrificing everything and putting yourself last for a woman, you are setting yourself up for a world of pain. Cut that bullyshit.
Tilia mkazo kuyajenga maisha yako, acha ujinga wa kujiumiza na kujirudisha nyuma kimaendeleo kwa ajiri ya mtu ambae ndani ya sekunde mbili anaweza kusahau sacrifices zako zote endapo atakutana na mwanaume atakaemuwekea kibunda mezani.
Ikiwa haongezi thamani yoyote kwenye maisha yako mchukulie kama kahaba tu wa kupiga na kusepa.
Your energy, your money, your time all of it should be invested in you first. If you found her broke leave her to be broke alone, if you found her with nothing leave her the same way you found her.
Kataa kuwa mtumwa.