Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
hii kazi wangepewa tanesco fasta tu tungeshawasahau wenye simu feki,ndani ya sekunde wangeshazima mapema tu............
Bw. Killerman hivi ni kweli unaamini kwamba simu fake Tanzania zinazimilikiwa na Watanzania ni 3 katika kila simu 10, kabisaaaa??? Najiuliza maswali mengi sana kuhusu hili nakosa majibu....Yaani km kweli sim feki zitazima... Kwa kweli nitajivunia maendeleo ya technologia kwa Tanzania yetu... Maaana mie naona km hawa jamaa wanazuga tuuu.....
Ujinga mtupu wenzetu wanaumiza vichwa kubuni mambo ya kisayansi, sisi tunarusha live uzimaji wa cm feki kwa kosa letu la kuruhusu ziingie. Inakera sana eti jambo la kihistoria!!???
Wao wanaona sifa...wanafaa kushtakiwa hawa..tugawane hasaraUjinga mtupu wenzetu wanaumiza vichwa kubuni mambo ya kisayansi, sisi tunarusha live uzimaji wa cm feki kwa kosa letu la kuruhusu ziingie. Inakera sana eti jambo la kihistoria!!???
Nilishasema haka kanchi kwa mazingaombwe kako next levels tena za "inteneshno".Hivi hela za kurusha bunge live hawana, hila kurusha huo upuuzi ndio wanayo......hili shirika acha njaa iwaue tu.
Wapo kwa prose's subiri kidogo zinazimwaMbona hata feki haijazimwa
Bado kidogo angalia tbc1 wanajadili mbona bado kidogo ndo wazimeJamani wangapi tumevuka?
Naona wamezima mbona kuna baadhi ya members wamekatika ghafla kwenye huu uzi.
Naona wamezima mbona kuna baadhi ya members wamekatika ghafla kwenye huu uzi.
Naona wamezima mbona kuna baadhi ya members wamekatika ghafla kwenye huu uzi.
TUPO BANANaona wamezima mbona kuna baadhi ya members wamekatika ghafla kwenye huu uzi.
Nahisi wewe umegundua jambo kitaalam sana na umefikiri kwa usahihi hata mi nakuunga mkono.Mi noana wale waliotuma IMEA kuhakik kama feki na ikawa hivo ndo zitazimwa ila km ulikausha haitazima......
Kwa maelezo yao ni kuwa,hata simu iliyozimwa kama ni feki ukiwasha baadae haitafanya kazi na hata feki zilizoko dukani ukinunua hazitafanya kazi pia.Mi noana wale waliotuma IMEI kuhakik kama feki na ikawa hivo ndo zitazimwa ila km ulikausha haitazima......