Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,084
Duh kumbe simu Feki zikawa zinatumalizia network maake simu yangu sasa hivi mnala umejaa full
Hivi kuzima nako kumbe kunahitaji mchakato? Basi wacha mchakato uendeleeWamesema watawasiliana na waliko huko TCRA Makao Makuu kutupa taarifa.
Alieko hapo makao makuu anasema mchakato wa kuzima ndio unaendelea na atawajuza hapo studio.
Wahuni hawaDuh kumbe simu Feki zikawa zinatumalizia network maake simu yangu sasa hivi mnala umejaa full
Aisee!Wakuu nimeona simu ya mdau imezima I thought Network ndo itazingua lakini simu ndo imezima kwanza. Sijui wametuma kitu gani?
We sema watu weweee wakati mchakato unaendelea yani ananyongwa mchina mmoja baada ya mwingine hadi watakufikia tu na shangwe zako.Watu weweeeeeeee.....!!!
Wanadai mitambo ndio inazimwa.Zinazimwa kwa awamu.Wahuni hawa
Uko mbali na tv au huna tv?Endelea kutupa update za hayo mambo si wengine tupo mbali na TV.
Nimeroga mitambo ha ha ha ha ha haRIP tecno unayo dakika 1 tu ya kuaga
[emoji15]Uko mbali na tv au huna tv?
Tunao mkakati madhubuti wa kuzima simu haramu kwa awamu, na tutakwenda hadi awamu 5, kwa sasa tuko awamu ya kwanza kipengere "a", "be" na "che".Wanadai mitambo ndio inazimwa.Zinazimwa kwa awamu.
Mkuu wacha muvi liendelee, hii ndo Tanzania.Ujinga mtupu wenzetu wanaumiza vichwa kubuni mambo ya kisayansi, sisi tunarusha live uzimaji wa cm feki kwa kosa letu la kuruhusu ziingie. Inakera sana eti jambo la kihistoria!!???