Mjadala kuhusu kuzima simu bandia unaendelea live TBC1

Mjadala kuhusu kuzima simu bandia unaendelea live TBC1

Ni dakika 3 zimeondoka tangu mitambo ya tcra kufanya yake. Sijui wangapi wamepona?
 
Mbona hata feki haijazimwa
Wamesema watawasiliana na waliko huko TCRA Makao Makuu kutupa taarifa.

Wamempigia alieko huko TCRA makao makuu anasema mchakato wa kuzima ndio unaendelea na atawajuza hapo studio.
 
Hivi wamezima kweli au ndo kupeana mapresha tu?
 
Wakuu nimeona simu ya mdau imezima I thought Network ndo itazingua lakini simu ndo imezima kwanza. Sijui wametuma kitu gani?
 
Back
Top Bottom