Hapa niko alone ila kukikucha ndio tutafanya tathimini.Kuna yoyote uliye naye hapo amezimiwamvmu yake?
Hio system isipokuwa effective,tujiandae kusikia kashifa ya mtambo wa kuzima simu inaibuka.Imagine me natumia tochi ile simu ndogo ila feki utazima vipi hata cjatuma imei....... Ndo maana wapopo(nigeria) hawatumii smartphone au simu yeyote yenye internet kufanya mugu(utapeli) sababu ni ngumu kumtrack sasa utawezaje kuzima... tena kibongobongo maishaaa[emoji57]
Hizi akili kila simu ina IMEI wewe bwakilaImagine me natumia tochi ile simu ndogo ila feki utazima vipi hata cjatuma imei....... Ndo maana wapopo(nigeria) hawatumii smartphone au simu yeyote yenye internet kufanya mugu(utapeli) sababu ni ngumu kumtrack sasa utawezaje kuzima... tena kibongobongo maishaaa[emoji57]
Hiyo simu yako hata siielewiSimu yangu wakiizima ntawapeleka TCRA mahakamani
Kila cmu inayo ndiyo...... Haya nitajie yangu..... We unadhani kwanini walisema utume imei kuhakiki waza siyo unajibujibu wengine ndo kazi zetu hizo..... Au nitajie yangu sasa hivi hyo imei.... CantanganasHizi akili kila simu ina IMEI wewe bwakila
Vipi wakiingia mpaka kupiga marufuku mitumba?Baada ya zoezi hili TCRA isiishie hapo kwa kulinda afya zetu kutokana na mionzi mikali inayosababishwa na hizo simu feki kama ambavyo wamekuwa wakituelezea , waendelee mbele zaidi kwa kuzilinda pesa zetu zisiibwe na makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano nchini
Tbc =cherekoHakuna channel nzuri kamaTBC kwani vipindi vyske vingi ni vya kuelimisha jamii ns ujasiriamali huko kwingine ni miziki tu na kujadili bongofleva hakuna la maana
Of Course mimi mwenyewe sikuhakiki ila wameenda katika Manufacturer wa simu na wamewapa series za Matoleo pamoja na IMEI zake so Ukiona haijazimwa halafu Nokia hiyo ni Original Simu ambayo ni fake zote Zimezimwa haijalishi kitochi au KibatariKila cmu inayo ndiyo...... Haya nitajie yangu..... We unadhani kwanini walisema utume imei kuhakiki waza siyo unajibujibu wengine ndo kazi zetu hizo..... Au nitajie yangu sasa hivi?
Hicho ndo kinacho fuata asubuh zoezi linaendelea na wale ambao hawajatuma imei waendelee kutuma........eti wanaapload cku zote walikuwa wapi leo ilikuwa ni kabatani basi......mie nikijua ikifika saa sita kamili wanabonyeza tuu kabatani simu fake chali kumbe wanaenda mdogo mdogo. Usishangae asubuhi wakasema zoezi linaendelea
Ndugu mwache na ujinga wake.mi zangu zote feki na haizimwi hata moja.Mijitu mizezeta sana Tanzania yetu walipoambiwa watume imei walijua ujanja kumbe ndipo walipojimaliza wenyewe.Kila cmu inayo ndiyo...... Haya nitajie yangu..... We unadhani kwanini walisema utume imei kuhakiki waza siyo unajibujibu wengine ndo kazi zetu hizo..... Au nitajie yangu sasa hivi hyo imei.... Cantanganas
Ndiyo mkuu yaani wengine walikuwa wanauliza ile namba vipi mbona hawajibu ..... Hapo ndo utashangaa malalamiko simu original inafungwa..... Tanzania hii basi tena..... Hapo bado gharama ya huo mtambo,mapato yatakavyo kosekana serikalini na usumbufu kwa mwananchi wa kawaidaNdugu mwache na ujinga wake.mi zangu zote feki na haizimwi hata moja.Mijitu mizezeta sana Tanzania yetu walipoambiwa watume imei walijua ujanja kumbe ndipo walipojimaliza wenyewe.
We tumia akili zako vizuri katika kufikiri.watengenezaji hawatoi imei kwa sababu simu haziji Tanzania tu kuna zinazoenda nchi zingine pia.Of Course mimi mwenyewe sikuhakiki ila wameenda katika Manufacturer wa simu na wamewapa series za Matoleo pamoja na IMEI zake so Ukiona haijazimwa halafu Nokia hiyo ni Original Simu ambayo ni fake zote Zimezimwa haijalishi kitochi au Kibatari
Hivi kweli kuna watu wali amini kwa 100% kuwa eti simu zote fake zitazimwa?Ndugu mwache na ujinga wake.mi zangu zote feki na haizimwi hata moja.Mijitu mizezeta sana Tanzania yetu walipoambiwa watume imei walijua ujanja kumbe ndipo walipojimaliza wenyewe.