mizinga ya nyuki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mizinga ya nyuki

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kanyagio, Mar 6, 2011.

 1. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  wanandugu nimeamua kulima alizeti katika kiwango kidogo (ekari 5) kwa majaribio katika maeneo ya Fukayosi- Bagamoyo. sasa kwa sababu alizeti zina maua mengi naona ni vema niyatumie kwa ajili ya uzalishaji asali pia.

  sasa ndugu zangu najua mizinga inapatikana SUA.lakini hapa kwa Dar es salaam unaweza kuipata wapi.. kuna mtu kaniambia SIDO ila sina contacts. naomba mwenye contacts za wapi naweza kupata mizinga ya nyuki pamoja na mtaalamu wa kunielekeza naomba anisaidie.
  thanks
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  wizara ya maliasili pale kawawa road/pugu road.near bohari ya serikali wanatoa elimu ya nyuki plus mizinga.kuna thread ya nyuma kidogo,malila alizungumzia kuna sehemu wanauza mizinga bei poa sana.ipo iringa :) all the best
   
 3. M

  Malila JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mtwangie huyu jamaa, atakupa bei ya mizinga na ukitaka atakupa na mbegu ya nyuki wadogo wasiouma 0754778388 au 0753353933
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Hongera kwa kuamua kulima naamini utapata watu wa kukushauri nini cha kufanya.
  kila la kheri
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  hivi maua ya alizeti huwa yana contribute kwenye asali? nijuavyo mimi si maua yote. watch seasons pia maana si wakati wote nyuki wanatengeneza asali. inawezekana wakati wa maua ya alizeti nyuki wanakuwa likizo, na ikaishia kula kwako.
   
 6. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  :juggle:
   
Loading...