Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Mwishoni umemaliza vibaya sana ..hebu fatilia strength ya GLONASS na GPS hazijatofautiana kihivyo na kama ulkuwa hujui karibia simu zote zinazotengenezwa dunia kwa sasa flagships zote , hutumia integration ya GPS + GLONASS na system zingine ili kuleta performance nzuri fuatilia kuhusu google map ..you're very biased with Russian technologies.. Which makes your ideas very personally na kukosa usahihi kabisa ...wewe unasema a moving target can't be targeted, then why jet fighters zinakuwa shot down na missile system au aerial battle ya ndege kwa ndege na vipi kuhusu ant aircraft systems?.. Yan itunguliwe ndege ambayo inakimbia kuliko gari halafu ishindwe kutungua gari eti kisa ni mobile target , hio sio kweli ..THINK BIG ..na uwe openly hamna jeshi ambalo lipo perfect ,, kuna sehemu urusi wapo sawa na marekani hawapo sawa and its true for viceversa..
 
Pantsir ni air defence system. Mbona Gepard air defence system ya Ujerumani nayo inapiga target uku inatembea. Point yako nini hapa, unalenga kulinganisha HIMARS ambayo ni MLRS dhidi ya Pantsir ambayo ni air defence system?
Point ni kwamba kwanini haiwezekani kui destroy HIMARS , mana wewe unasema kisa ni moving target na Mimi nakukatalia ...uje na sababu nyingine
 
Hapana sijasema IRAN ishambuliwe MKUU kwanza nilijaribu kukueka sawa kuhusiana natabia ya US halaf ndio nikamaliza na hio IRAN
Maana yangu nikwamba US wala hahifaji uwe nae vitani ndio akushambulie maana yangu nikwamba akijisikia ama akaona inafaa atakushambulia tuuu
Nimekupa mifano yawazi hio ya IRAQ na SUDAN
Nahisi tumeelewana
 
Hoja yako ni nini? Hata nisiposhabikia vita itaisha? By the way hakuna sehemu nimeshabikia vita, ila nimetoa maoni kulingana na mada husika.
 
Dah!... Kama ni Siri Sana hawezi kufahamu na wengine wasijue, ikishafahamika sio Siri Sana.
Kuna silaha wanakwambia Ni Siri Sana kwa sifa zake za kipekee lakini Bado si Siri nzito kutojulikana koz Ni wao husema Hili waziwazi.eg B 21 Air Raider,silaha nyingine ziitwazo za Siri Ni majaribio yanayofeli kila Mara ya Hypersonic missile kutoka kwenye b52 stratofotress
 
Kasahau juzi kule ulaya ROSCOSMOS walichapisha picha ya satellite walipo viongozi wa G 7. Tena waliifanya kwa utani na kejeli Kwamba kuonyesha walipo ( west) tupo( warusi)
Nb. ROSCOSMOS Ni satellite maalum ya jeshi la Russia.
 
Kwa taifa ambalo taarifa zao nyingi hazijulikani naamini ni Rusia na hata katika cyber crime wapo vizuri,tuache kucopy nakupaste hamna mtu aneyewezakuweka technolojia yake ya gharama katika mtandao mambo mengine ni siri
 
Moving Target hata Uragan MLRS hukimbia ( move) baada ya mpigo dhidi ya target. Aje kivingine
Iskander-M huwa inakuwaga camouflaged msituni na hupiga high precise strike kuelekea Ukraine tena kwa umbali mrefu , lakini sijasikia zikisiwa sana kama hizo HIMARS , lakini ni silaha nzuri na West hawaziongelei
 
Hio ni iPhone 13 pro max ..angalia GLONASS hapo utaikuta. ..kunavitu nakuonaga upo vizuri ..ila kiu halisia una mahaba sana na American weapons and its technology
 
Kasahau juzi kule ulaya ROSCOSMOS walichapisha picha ya satellite walipo viongozi wa G 7. Tena waliifanya kwa utani na kejeli Kwamba kuonyesha walipo ( west) tupo( warusi)
Nb. ROSCOSMOS Ni satellite maalum ya jeshi la Russia.
ROSCOSMOS sio satellite ya kijeshi bali ni shirika linalohusika na utafiti wa masuala ya anga Kama ilivyo NASA Kwa Marekani.

Sasa kejeli gani wakati mikutano ya G7 ilikua inafanyika kwenye venue maalum ambapo mpaka kuna waandishi WA habari hata wewe na Simu yako ungeweza search jina la venue ukaipata kupitia Google map. Tatizo warusi wanapenda Sana show off
 
Marekani na vibaraka wake Kelele mingi sana mdomoni lakini kwenye uwanja wa mapambano akipigwa ngumi moja tuu wanakimbia mithiri ya swala!
 

Sidhani kama technolojia hii Urusi hana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…