Mbwembwe tu hizo.Sina Utaalamu wa zana za Kivita ila nimevutiwa kuijua zaidi mizinga hiyo ya Kivita natumai humu kuna wajuzi/wajuvi wa mambo hayo.
HIMARS tangu zimeingia Ukraine kutoka Marekani zimebadilisha kila kitu wao wanaziita game changer, na Marekani kaziingiza nne tu pale Ukraine ila Warusi wanaziwinda kwa kila njia kupitia Drones zao, Su, Mig zao...nk
Sio Ajabu sana kushangaa Jana Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema imeziharibu 2 ila Waziri wa Ukraine alikuja kukanusha.
Rais wa Marekani Biden aliwapa Ukraine Aina ya Short/minimum range akiogopa kuwapa za Long range kwa kuhofia jamaa wanaweza kugusa pale Moscow.
Ukiangalia kwa Sasa Maghala mengi ya Silaha za Warusi ni moto kila kona, HIMARs zinafanya kazi Ukraine wanasema wangepewa hizi mapema wangepunguza maafa na pia vifo.
Baada ya Mizinga hii kutua Ukraine, Russia wameanza mafunzo ya kulilinda Daraja linalounganisha Crimea wakihofia jamaa wanaweza kuligusa, nimeona Warusi wamepeleka magari pale kazi yake yanatoa Moshi mwingi na kulificha daraja yanaitwa sijui Smoke nini.. Sio mtaalamu sana.
Mtaalamu/wataalamu wa haya mambo waje watupe maarifa zaidi.
US aliwahi kushambulia SUDAN mwaka nimeusahau wakat huo hawakua vitani pia aliwahi ishambulia IRAQ nao mwaka nimeusahauMarekani na Iran hawapo kwenye vita kwahiyo hakuna sababu ya Marekani kuishambulia Iran.
Ni vizuri ukijua silaha au mbinu za adui usimwambie kuwa unajua. Wewe tafuta njia za kupambana nazo kimyakimya siku akitaka kuzitumia ashangae hazimpi matokeo yaleyale. Miaka ya Cold war CIA na MI6 waligundua cable ya mawasiliano kupitia Ujerumani Mashariki, hawakusema kabisa wakawa wanasikiliza taarifa zinazotoka Ujerumani Mashariki ambayo ilikuwa ya muhimu sana kwa Soviet Union. Baadae double agents wa CIA wakaiambia KGB kuwa huwa wanasikilizwa, KGB nayo haikuwaambia maadui kwamba tunajua mnatusikia, wala haikuacha kutuma taarifa. Ilianza kutuma taarifa nyepesi, za kimkakati na wa uongo kuwapumbaza, walikuja kuambiwa miaka ya baadae wakajiona wajinga.
Iran ana mahandaki mengi kati yake kuna yatakayokuwa yanajulikana (lazima yawepo) na yasiyojulikana. North Korea ana mahandaki mengi na kubwa zaidi lilipatikana na mamlaka za South Korea. USSR kwenye Cold war alikuwa na underground facilities kama Gola Yamantaw yenye kubeba zaidi ya watu 10,000 kwa miezi zaidi ya 6 na kila kitu humo ndani. Switzerland miaka ya Cold war ilikuwa na maandaki ya kutosha kuhifadhi raia wote nchi nzima na ziada 10% ya population. Sweden ilikuwa na ground facility ya kutunza meli za kivita pembeni na straight ya kwenda Urusi.
Hizi changamoto zililazimisha Marekani wakati wanatengeneza military satellites wajue namna ya kutambua ground kuna nini. Teknolojia inayotumika kupima madini na gesi kwa ndege ndio idea ilitoka hapo. Ukichimba shimo kubwa la km za mraba kadhaa chini na juu ukaacha udongo kwenye satellite wanaona kuna sehemu ardhi inakosa udongo. Labda uchimbe vichochoro ardhini kama vile vya Hamas ambavyo vinapitisha watu wawili wakibanana.
Na ndio maana kuna bunker buster bomb. Marekani wanayo inapiga na kupenya mita zaidi ya 50 za zege ndio inalipuka
Hapa kwenye UCHUMI umetupiga MZEESiku Ukraine ikipewa Lile Kombora za ATAMACS Lenye Range ya 200Miles (320km),Hilo Daraja la Kerch linalounganisha Cremea na Mainland Russia litakuwa matatani. Sema hi Vita Marekani anaipeleka taratibu TU. Walianza kutuma Rifles za Snipers(Majenerali wa Urusi wakapukutishwa Kama kuku wa kisasa),Wakatuma Stingers(Helicopter za Urusi zikadakwa Kama kumbikumbi angani),Wakatuma Javerine(Vifaru vya Urusi viliteketezwa Kama Uyoga). Sasa Wametuma HIMARS(Sasa tunashuhudia Temporary Commanding Centers za Urusi,Maghala ya Silaha na Maghala ya Mafuta yakisambaratishwa).
Hii Vita tukae TU kwa kutulia tutaona mengi. Wasipofikia Makubaliano ya Amani,Pande zote zitapata Matatizo. Sema Jeshi la Ukraine Ni dogo Sana (225,000) ukilinganisha na ukubwa wa Jeshi la Urusi (1.1M). Kwahiyo hata Wakifa kwa uwiano Sawa kila Upande,Ukraine itashindwa mwisho was siku.
KIUCHUMI
Kiuchumi mpaka Sasa Urusi imepoteza mapato mengi Sana. Kwa mjibu wa Takwimu,Urusi imeingiza $ 24B za kuuza Mafuta nchini China na India na $ 12B kwa kuuza Gesi barani Ulaya Tangu Vita vianze ( Miezi 5) Sasa. Kabla ya Vita,Urusi ilikuwa inapata $ 38B kwa mwezi tu kwa kuuza Gesi na Mafuta barani Ulaya. Lakini kwa miezi 5 imeingiza $ 36B TU.
Uzi huu wakija wavaa KOBAS na SURUALI ZA WATOTO utachafuka hatariNapenda sana hii Elimu boss ninapopata muda nasoma kidogo sio mtupu sana zana kama Manpads, Stingers, Iskander, Sam(Surface to air Missiles), Air to surface missile's, grunets, Neptune, Topida, S300&400..nk
Napenda kuzipitia angalau nami nisiwe nyuma sana
Hua nacheka sanaNapenda sana hii Elimu boss ninapopata muda nasoma kidogo sio mtupu sana zana kama Manpads, Stingers, Iskander, Sam(Surface to air Missiles), Air to surface missile's, grunets, Neptune, Topida, S300&400..nk
Napenda kuzipitia angalau nami nisiwe nyuma sana
Kunywa maji yakutosha MKUUUzi huu wakija wavaa KOBAS na SURUALI ZA WATOTI utachafuka hatari
Mpaka sasa Ukraine zimemsaidia nini? Huu ushabiki maandazi ndio unawaponza Ukraine.Kwa nilichoona US alikuwa anaogopa mzigo wake kuchukuliwa au kuharibiwa ndo maana akapeleka chache.
Kwa sasa keshaona Ukraine sio waoga na wanafanya kweli ndo maana kaongeza
Nzuri zaidi kawapa ammunation 1000 ambazo ziko accurate kuliko zote duniani, nimesoma mahali kuwa thamani ya hizo 1000 ni zaidi ya 100mil usd
Huu Uzi nahisi wanao comment ni wajeda tu. Haiwezekani mtu wa kawaida tu ukawa unajisomea aina za makomborq na nguvu zake halafu basi tu iishie hewani.
Ila nawashukuru kuna elimu tunaipata hapa kutoka kwenu
Unaona mbali Sana, yaani inaonekana wazi kabisa vita ndo imeanza hata mimi nimeona uk inatoa mafunzo ya kutumia mizinga na sehemu nyingine inafundisha makurutu kalibu elfu Kumi wa ukraineHii vita sio sawa na Wazungu na Waasia au Wazungu na Waafrika, hii ni vita ya Wazungu na Wazungu, kingine kabisa Warasia na Waukraine na watu wa jamii moja, Genetically wana uhusiano, kuanzia miili, akili hata Kiojografia wameadapt hali moja...
Russia will never bi able to Subjugate Ukraine, sababu wanachotautiana tu ni Ukraine hakuwaga anaunda Silaha wala Jeshi kama Russia but Msaada anaopata kutoka Western allies ni very strategic.
Kuna taarifa kuwa U.K imaanza kuwapa mafunzo askari wa akiba wa Jeshi la Ukraine takribani 10, 000 hii inaonesha jinsi wanvojiandaa na Protracted Warfare.
Putin katufunza why we should not give a lot of power kwa mtu mmoja and our militaries need to have democratic control
Mimi sio mtaalam wa haya mambo lkn mwenzako ameshuka nondi za kueleweka lkn wewe umeandika utumbo, huoni aibu mtoto wa mama mdogo?😆US aliwahi kushambulia SUDAN mwaka nimeusahau wakat huo hawakua vitani pia aliwahi ishambulia IRAQ nao mwaka nimeusahau
Nakumbuka sababu walisema IRAQ walitaka kutengeneza silaha za NYUK nakule SUDAN walisema walishambulia sehem kisa wanaona nihatari kwausalama wa US
Nimeandika tu kukuonesha kwamba US hahitajii mue vitani ama laa ili akushambulie akijisikia tu nakiona hutakua ama huwez kua tishio kwake lamoja kwamoja kama vile kupiga kambi zake hapo ME napenginepo atakunyoosha tu nawala hatajali
Jambo ambalo IRAN limo ndani yauwezo wake
Ahsante MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha asante kijana wangu, unaonaje leo uvae suruali nzima upendeze
Jeshi la Ukraine lilianza kupata mafunzo ya kijeshi toka West since 2014 waliponyang'anywa Cremea. Ikiwa mafunzo ya toka 2014 hayajawasaidia, haya wakati wa vita yatawasaidia??Hii vita sio sawa na Wazungu na Waasia au Wazungu na Waafrika, hii ni vita ya Wazungu na Wazungu, kingine kabisa Warasia na Waukraine na watu wa jamii moja, Genetically wana uhusiano, kuanzia miili, akili hata Kiojografia wameadapt hali moja...
Russia will never bi able to Subjugate Ukraine, sababu wanachotautiana tu ni Ukraine hakuwaga anaunda Silaha wala Jeshi kama Russia but Msaada anaopata kutoka Western allies ni very strategic.
Kuna taarifa kuwa U.K imaanza kuwapa mafunzo askari wa akiba wa Jeshi la Ukraine takribani 10, 000 hii inaonesha jinsi wanvojiandaa na Protracted Warfare.
Putin katufunza why we should not give a lot of power kwa mtu mmoja and our militaries need to have democratic control
Mbona Pantsir inaweza kupiga target huku inafanya movementKama ni ngumu kukimbia wapi umeona HIMARS hata moja imeharibiwa, au Warusi hawataki kuziharibu wanazipenda silaha za adui?
Kufanya attack sio kama kunywa maji. HIMARS ikifanya shambulizi haikai hata dakika mbili inatembea. Counter battery radar za Urusi zikisoma maroketi yanayokuja na kufanya pinpoit location, zinatoa feed kwa makamanda. Nao wanatoa command kuna shambulizi linatoka somewhere hivyo lijibiwe. Hakuna MLRS ya Urusi yenye range sawa na HIMARS hivyo wanalazimika kutoa taarifa mbele yao, kule mbele taarifa zinapokelewa wanachakata na kupata target. Huo muda HIMARS ishaondoka kitambo sana. Hili upige target ndogo kama ile na iliyo mobile inabidi uwe very accurate na timely, kitendo cha yenyewe kuhama mita 100 tu huipati.
Hiyo ya kusambaratisha eneo lote iko kwenye movie sio in real life. Huwezi fanya upuuzi wa kupiga eneo lote na mawe, mapori, misitu, udongo eti ndio unampiga adui. Kama ni hivyo vita ingeshaisha, na mamilioni ya tani za hayo mabomu sijui ungeyazalisha wapi.
HIMARS zimeongezwa nne jana na Biden, zilizopo Ukraine ni 8 tu.
Sio kwamba USA hawapo vitani na Iran ndio maana haishambulii nikikuuliza sababu ya USA na NATO kumshambulia Saddam Hussein unaweza kuniambia sababu yake ?halafu fananisha anachokifanya Iran Saddam alituhumiwa tu lakini Iran Hadi Vinu vya nuclear anavyo na amefika mbali mpk kumshambulia Kambi za USA na drones za USA zinatunguliwa yaani kiufupi USA+NATO+Israel wataishia maneno tu hakuna atakaerusha kombora ndani ya iranMarekani na Iran hawapo kwenye vita kwahiyo hakuna sababu ya Marekani kuishambulia Iran.
Ni vizuri ukijua silaha au mbinu za adui usimwambie kuwa unajua. Wewe tafuta njia za kupambana nazo kimyakimya siku akitaka kuzitumia ashangae hazimpi matokeo yaleyale. Miaka ya Cold war CIA na MI6 waligundua cable ya mawasiliano kupitia Ujerumani Mashariki, hawakusema kabisa wakawa wanasikiliza taarifa zinazotoka Ujerumani Mashariki ambayo ilikuwa ya muhimu sana kwa Soviet Union. Baadae double agents wa CIA wakaiambia KGB kuwa huwa wanasikilizwa, KGB nayo haikuwaambia maadui kwamba tunajua mnatusikia, wala haikuacha kutuma taarifa. Ilianza kutuma taarifa nyepesi, za kimkakati na wa uongo kuwapumbaza, walikuja kuambiwa miaka ya baadae wakajiona wajinga.
Iran ana mahandaki mengi kati yake kuna yatakayokuwa yanajulikana (lazima yawepo) na yasiyojulikana. North Korea ana mahandaki mengi na kubwa zaidi lilipatikana na mamlaka za South Korea. USSR kwenye Cold war alikuwa na underground facilities kama Gola Yamantaw yenye kubeba zaidi ya watu 10,000 kwa miezi zaidi ya 6 na kila kitu humo ndani. Switzerland miaka ya Cold war ilikuwa na maandaki ya kutosha kuhifadhi raia wote nchi nzima na ziada 10% ya population. Sweden ilikuwa na ground facility ya kutunza meli za kivita pembeni na straight ya kwenda Urusi.
Hizi changamoto zililazimisha Marekani wakati wanatengeneza military satellites wajue namna ya kutambua ground kuna nini. Teknolojia inayotumika kupima madini na gesi kwa ndege ndio idea ilitoka hapo. Ukichimba shimo kubwa la km za mraba kadhaa chini na juu ukaacha udongo kwenye satellite wanaona kuna sehemu ardhi inakosa udongo. Labda uchimbe vichochoro ardhini kama vile vya Hamas ambavyo vinapitisha watu wawili wakibanana.
Na ndio maana kuna bunker buster bomb. Marekani wanayo inapiga na kupenya mita zaidi ya 50 za zege ndio inalipuka
Ndo kisema Russia hawana military satellite za kufatilia hizo movement za HIMARS na vifaa vingine ...vipi kuhusiana na zile high precision strike za urusi kwenye ammunition depots za Ukraine ..kwanini washindwe kuzi track HIMARS , wakati vifaa vingine wanawezaKama ni ngumu kukimbia wapi umeona HIMARS hata moja imeharibiwa, au Warusi hawataki kuziharibu wanazipenda silaha za adui?
Kufanya attack sio kama kunywa maji. HIMARS ikifanya shambulizi haikai hata dakika mbili inatembea. Counter battery radar za Urusi zikisoma maroketi yanayokuja na kufanya pinpoit location, zinatoa feed kwa makamanda. Nao wanatoa command kuna shambulizi linatoka somewhere hivyo lijibiwe. Hakuna MLRS ya Urusi yenye range sawa na HIMARS hivyo wanalazimika kutoa taarifa mbele yao, kule mbele taarifa zinapokelewa wanachakata na kupata target. Huo muda HIMARS ishaondoka kitambo sana. Hili upige target ndogo kama ile na iliyo mobile inabidi uwe very accurate na timely, kitendo cha yenyewe kuhama mita 100 tu huipati.
Hiyo ya kusambaratisha eneo lote iko kwenye movie sio in real life. Huwezi fanya upuuzi wa kupiga eneo lote na mawe, mapori, misitu, udongo eti ndio unampiga adui. Kama ni hivyo vita ingeshaisha, na mamilioni ya tani za hayo mabomu sijui ungeyazalisha wapi.
HIMARS zimeongezwa nne jana na Biden, zilizopo Ukraine ni 8 tu.
Point ni ileile. HIMARS ni mobile target, hujui zinalala wapi na zinaamkia wapi. Precision strike kwenye ammunition depot za Ukraine ni rahisi kwa kuwa zimejificha lakini zimetulia sehemu moja ukizigundua kwa siri leo unafanya mashambulizi hata kesho.Ndo kisema Russia hawana military satellite za kufatilia hizo movement za HIMARS na vifaa vingine ...vipi kuhusiana na zile high precision strike za urusi kwenye ammunition depots za Ukraine ..kwanini washindwe kuzi track HIMARS , wakati vifaa vingine wanaweza
Haya maelezo yako sijaona wapi yamemaanisha US na Iran wako vitani. US haina jeshi kwa ajili ya kupigana na Iran, sijui kwanini unalazimisha wapigane nayo kama Iraq ilivyokuwaSio kwamba USA hawapo vitani na Iran ndio maana haishambulii nikikuuliza sababu ya USA na NATO kumshambulia Saddam Hussein unaweza kuniambia sababu yake ?halafu fananisha anachokifanya Iran Saddam alituhumiwa tu lakini Iran Hadi Vinu vya nuclear anavyo na amefika mbali mpk kumshambulia Kambi za USA na drones za USA zinatunguliwa yaani kiufupi USA+NATO+Israel wataishia maneno tu hakuna atakaerusha kombora ndani ya iran
Pantsir ni air defence system. Mbona Gepard air defence system ya Ujerumani nayo inapiga target uku inatembea. Point yako nini hapa, unalenga kulinganisha HIMARS ambayo ni MLRS dhidi ya Pantsir ambayo ni air defence system?Mbona Pantsir inaweza kupiga target huku inafanya movement
US aliishambulia Sudan walikuwa na kiwanda cha silaha sijui kinatengeneza siraha gani nakumbuka miaka ya 2009 hadi 2012 hivi hapo kama sijakosea.US aliwahi kushambulia SUDAN mwaka nimeusahau wakat huo hawakua vitani pia aliwahi ishambulia IRAQ nao mwaka nimeusahau
Nakumbuka sababu walisema IRAQ walitaka kutengeneza silaha za NYUK nakule SUDAN walisema walishambulia sehem kisa wanaona nihatari kwausalama wa US
Nimeandika tu kukuonesha kwamba US hahitajii mue vitani ama laa ili akushambulie akijisikia tu nakiona hutakua ama huwez kua tishio kwake lamoja kwamoja kama vile kupiga kambi zake hapo ME napenginepo atakunyoosha tu nawala hatajali
Jambo ambalo IRAN limo ndani yauwezo wake
Ahsante MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa una ushabiki wa kijinga sana sio ajabu nchi yetu ikawa ni vilaza wengi. Kuna mambo ya kuletea ushabiki sio vita ya silaha, bro vita ya silaha ni kitu kibaya sana kuwahi na kuendelea kutokea duniani. Front line ni kuzimu ukienda ukipona hukosi postpartum depression. No body who win vita ya silaha ni ushenzi sio wakushabikia sio warusi, ukraine wala mabeberu yanapenda vita. Kuna vijana wa urusi wamemwaga damu zao, raia wa kawaida waumia wewe unahisi Russia's soldiers wanacheza ngoma huko.Jeshi la Ukraine lilianza kupata mafunzo ya kijeshi toka West since 2014 waliponyang'anywa Cremea. Ikiwa mafunzo ya toka 2014 hayajawasaidia, haya wakati wa vita yatawasaidia??
According to viongozi wa Russia, kinachoendelea pale Ukraine ni operation ndogo sana, na juzi wamesema ikiwa watu wanafikiri watawashinda kwenye battlefield bas wajaribu.
Minds you , Ukraine kapoteza donbase jamaa bado wanatembeza dudu, hii ina maanisha wanataka the whole Ukraine... ni huzuni sana.
This is totally nonsensePoint ni ileile. HIMARS ni mobile target, hujui zinalala wapi na zinaamkia wapi. Precision strike kwenye ammunition depot za Ukraine ni rahisi kwa kuwa zimejificha lakini zimetulia sehemu moja ukizigundua kwa siri leo unafanya mashambulizi hata kesho.
Russia satellite system yao ya GLONAS huwa sio reliable wala accurate. Wewe lini uliwahi ona vifaa vya mawasiliano hapa Bongo vinatumia GLONAS. Mara zote tunatumia GPS ambayo ni zao la jeshi la Marekani na ndio walifanya GPS itumike kiraia. Na Russia hawana satellites nyingi sana angani, na hazina uwezo mkubwa sana. Hata China na BeiDou yao ya juzijuzi hapa wana satellites nyingi nadhani wataizidi au washaizidi Urusi