Unajua wanadamu hatupendi kushukuru kabisa kwa muumba wetu, nadhani ni jambo jema kushukuru Kwa Muumba kuwa Amerika, kwa kipindi hiki Trump sio raisi na kama angekuwa huenda tusinge login tena humu..... He heeee au kulog offfz... Yule mwenda kuzimu alishasema kwamba Marekani wana silaha hatari sana ambazo hamna taifa lolote inazo, na in short alikuwa kama anatafuta wa kumwonyeshea mfano! Hembu fikiri Trump angekuwa raisi kipindi hichi, Ndio, Ni kweli mrusi angepigwa na kitu Kizito. Tatizo linakuja huyu murussi ana ideology ya BORA TUKOSE WOTE hii ndio hatari aliyonayo na wala sio Makumbora wala mifumo yake ya ulinzi. Ugopa sana mutu hana cha kupoteza alafu wewe una cha kupoteza, ni kama ule mfano wa kupigana na nguruwe.
Tusali sana Bideni asolve hili jambo angali yu hai maana endapo Trump atagombea kwa mara nyingine afu sikute ishu mezani, yatakuwa mengine.