Naona umeamka vibaya.Kimya kimya warussia washa popoa himars nne……….
Na ukubwa wote huo likisha shambulia linatoka nduki kama Filbert Bai [emoji1787][emoji1787] HIMARS mnyama.. View attachment 2301095View attachment 2301096View attachment 2301097View attachment 2301098View attachment 2301101
Mwamedi mwezi wa sita huu ujue tangu hii vita ianze?Mpaka sasa kijiji gani kimekombolewa kwa msaada wa HIMARS?
HatariiiiiNa ukubwa wote huo likisha shambulia linatoka nduki kama Filbert Bai [emoji1787][emoji1787] HIMARS mnyama.. View attachment 2301095View attachment 2301096View attachment 2301097View attachment 2301098View attachment 2301101
SIJAELEWA,yaani likishashambulia Hilo gari linakimbia????Na ukubwa wote huo likisha shambulia linatoka nduki kama Filbert Bai [emoji1787][emoji1787] HIMARS mnyama.. View attachment 2301095View attachment 2301096View attachment 2301097View attachment 2301098View attachment 2301101
Mkuu hujaelewa nini? Umeiona kwanza hiyo HIMARS? inashambulia sehemu yeyote ili mradi iwe within range na ikisha shambulia inasepa ku avoid counter battery za urusi.SIJAELEWA,yaani likishashambulia Hilo gari linakimbia????
Je,hakuna vizuizi vya njia kuzuia kupita?
Kwa Mtogole & Co; hawawezi kukuelewa Mkuu; kashupaza shingo ndilo walijualo!Mwamedi mwezi wa sita huu ujue tangu hii vita ianze?
... hilo limnyama limeyapatia kweli kweli yale machuma chuma ya kirusi! Halafu Kwa Mpalange & Co; kucha kutwa kujaribu kudiss military capability ya US in favor of Russia! Unajiuliza hawa wako sawasawa kweli?Mkuu hujaelewa nini? Umeiona kwanza hiyo HIMARS? inashambulia sehemu yeyote ili mradi iwe within range na ikisha shambulia inasepa ku avoid counter battery za urusi.
Ikipiga fasteeeer inatembea, na very effectively.... hilo limnyama limeyapatia kweli kweli yale machuma chuma ya kirusi! Halafu Kwa Mpalange & Co; kucha kutwa kujaribu kudiss military capability ya US in favor of Russia! Unajiuliza hawa wako sawasawa kweli?
Mkuu achana na wapuuzi hao wanawaza mipashoHapa umechangia nini mzee? Unajua hii comment yako tukiihamishia uzi wa Amber Ruty itapata mashiko uko. Haina msaada wowote kwenye uzi huu na haijaongeza value. Unaweza pinga kwa facts, kujazia au kurekebisha.
Ulichofanya hata darasa la pili anaweza
Inasepa automatically?Mkuu hujaelewa nini? Umeiona kwanza hiyo HIMARS? inashambulia sehemu yeyote ili mradi iwe within range na ikisha shambulia inasepa ku avoid counter battery za urusi.
Tornado MLRS inatumia GLONASS .vip hapoNi kweli za kutisha ila tatizo shabaha Russia zake hazina GPS
Linaendeshwa mkuu, gari ina watu wasiopunguwa watatu humo.Inasepa automatically?
Je,kuna mtu analiendesha au linaniendesha lenywe?
Wanajitoa ufahamu tu.... hilo limnyama limeyapatia kweli kweli yale machuma chuma ya kirusi! Halafu Kwa Mpalange & Co; kucha kutwa kujaribu kudiss military capability ya US in favor of Russia! Unajiuliza hawa wako sawasawa kweli?
Kherson Russia anahenya, mwezi wa nane Ukraine wamesema watakuwa wamefanikiwa kuirejesha Kherson.Kherson kazima mtu akimbie
Kuna lile daraja naona limetekenywa ili waondoke bila chochote, kiufupi waondoke mikono tupu na ndo lenyewe tuKherson Russia anahenya, mwezi wa nane Ukraine wamesema watakuwa wamefanikiwa kuirejesha Kherson.
Kumbuka US kapeleka silaha kadhaa tu hapo Ukraine, hasa HIMARS 8, toka zifike majeshi ya Russia yameufyata kusonga mbele.
HIMARS zikiwa 30 itakuwa ni balaa lingine.