Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Ila myonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Mzawa huko very rational and we'll detailed when it comes to military knowledge and it's explanation.

Wanaokataa kujifunza kutoka kwako watakuwa funza. [emoji41]
Humu wengine wanapenda ligi tu. Yuko busy kubisha kwamba Russia anashindwaje kupiga ground target na wakati anaweza air targets. Maelezo kibao toka jana natoa bado hataki. Ukimuuliza kwanini Russia kashindwa kuzipiga HIMARS na ziko ground hana jibu
 
Hayo makombora hamna kitu ndo kwanza Warusi wanakaribia kuingia jiji la bakhmut na slavyank Urusi imeiwekea Ukraine fake target ili kwa kutumia hayo makopo Ukraine ilitaka ku counter offensive kwa upande wa kherson lakini wameambulia kipigo
 
Humu wengine wanapenda ligi tu. Yuko busy kubisha kwamba Russia anashindwaje kupiga ground target na wakati anaweza air targets. Maelezo kibao toka jana natoa bado hataki. Ukimuuliza kwanini Russia kashindwa kuzipiga HIMARS na ziko ground hana jibu
Sasa utapigaje wakati Ukraine huwa ina change launching site hata hivyo Russian ground force wameanza kuyakamata makombora yake (HIMARS)
 
Usinilazimishe kufikiri kama unavyofikiri wewe .. Kwahiyo unatuhakikishia urusi hawana military satellite za kuona hizo mobile target za ground?
Kwamba anazo peke take USA ?
Inabidi unionyeshe wapi nimesema Russia hawana military satellites. Kwanini mnateseka humu Marekani ikitajwa? Kwanini msiseme hiyo capability kama ipo Russia badala yake mnadai "kwani Russia hana rockets, kwani hana military satellites".

Swali lipo palepale, kwanini Russia anashindwa kupiga HIMARS, na wakati ameweza kupiga fighter jets za Ukraine. Ukishindwa kujibu hapa hakuna ulazima wa kubishana kwenye ground target vs air target
 
Humu wengine wanapenda ligi tu. Yuko busy kubisha kwamba Russia anashindwaje kupiga ground target na wakati anaweza air targets. Maelezo kibao toka jana natoa bado hataki. Ukimuuliza kwanini Russia kashindwa kuzipiga HIMARS na ziko ground hana jibu
Mimi uzuri wangu nasikiliza with intent of understanding the situation na sio intent ya kubishana.

HIMARS inabidi tukubali Hadi Sasa zimekuwa ngumu saana kuzi neutralize kwa sababu ya mobility yake baada ya kuattack.

Watu baada ya kutaka kujua kwanini zimekuwa efficient wao wanabisha kwa kuchagua upande wa mabishani ya Russia na Ukraine.

Imbecilic [emoji52]
 
Sijui Russia atawavamia waliotoa silaha kama alivyosema mwanzo. Na atawavamia Finland kisa wanajiunga NATO
 

Tuambie simesaidia nini mpaka sasa Ukraine??
 

 
HIMARS bado ni weak tu tatizo haiwezi ku hit multiple ground target ili imfanye adui arudi nyuma juzi Ukraine wamelipua beakari ya mikate wakizani ni ghala la silaha za Urusi kumbe Urusi silaha zao huingia front line moja moja usiku huu Kuna launcher nyingine ya HIMARS imepigwa na kronspol artillery
 
Israeli (kipenzi cha Marekani) ana ugomvi na iran, we unahisi israel hatamani kufumua yale mahandaki, hatamani kujua yalipo, kama Marekani anayaona nje nje, kwanini asimsaidie israel afumue fumue pale
Swali hili linajirudia. Kwanini Israel iishambulie Iran. Kwanini Marekani iishambulie Iran? Ili iweje yani.

Kama vita ni ya lazima sana kwa nini usipendekeze Iran ndio ishambulie Israel. Kati ya Iran na Israel nani hapendi mwenzake, in fact Iran ndio hutoa chants za death to Israel, death to Zionists. Israel ikitaka inachukua bodaboda wanaingia Iran na kuua mwanasayansi hasa wa nyuklia na kurudi zao kwao. Kwanini Iran isianze
 
Hujajibu swali, ila tuachie hapo, nahisi akili yako ipo kwenye ubishi wa upande, nilikuuliza kwa bi maana niongeze maarifa.

Shukrani mzee
 
Natamani kuiona hii vita kati ya watu milioni 10 na milioni 80
 
Tuambie simesaidia nini mpaka sasa Ukraine??
Kwa Ukraine zimekuwa msaada mkubwa saana kwani Hadi sasa.

Kwa mara ya kwanza kwenye Hii vita Mrusia aja advance hata hatua moja kwenda mbele kwa masaa 34 tangu HIMARS ziianze kushambulia.

Kwa mara ya kwanza Russia ammunitions commanding center, zimeharibikiwa ikiwemo mifumo ya logistics.

Vituo vya kuhifadhi mafuta navyo havijabaki salama na kwa mara ya kwanza Ukraine amelaunch attack ndani ya Russia akitokea kwake Ukraine.

Mkuu Kama hayo sio mafanikio labda Mimi sijui maana ya mafanikio.

Asante.
 
Kweli haja advance nukuumbue sasa hivi hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…