Mke wake alishafariki.
Habari Yafoo ushirombo, .........nangsha , any way nafikiri utagundua kwa salamu kama nina undugu au la, ila tunao, undugu wetu ni kuwa tulikuwa na mtetea hatuna jogoo ikawa tunachukua jogoo wa kina msabaha kwa ajili ya kutagisha mtetea wetu kijini, hapo ndipo undugu akaanzaBangusilo una undungu na Dr Msabaha, am curious.....!!
Anasema kuwa kamati teule imefanya kazi yake na pengine kazi hiyo ndio imemfanya yeye kuwa hapo alipo, anasema kuwa kwake kubwa ni kukubali kuwa ktk utendaji wa kazi za serikali lazima kila mmoja ahakikishe kuwa anatimiza wajibu wake kwa jinsi inavyopaswa.
Kila waziri lazima ahakikishe kuwa wataalamu wao wanafanya kazi kwa kina na kwa ukweli.
Anasema kuwa ripoti ilionyesha kuwa anapaswa kuhakikisha kuwa anafanya kazi ya kukomesha maovu yote ndani ya serikali na kuyakomesha .
Anasema kuwa yeye kama kiongozi yupo kwa ajili ya kuitumia ripoti hiyo kama dira ya kumwongoza.
Kwake TAKUKURU,POLISI NA USALAMA kazi yao kubwa ni kuweza kuisaidia serikali ili kuweza kufanya kazi zao kwa kina zaidi.
Anaamini kuwa yapo mabadiliko muhimu ili kuhakikisha kuwa majukumu yao yanafanyiwa kazi ipasavyo ,na anaahidi mabadiliko ili kuweza kuhudumia wananchi inavyotakiwa.
Anawataka mawaziri watakaoteuliwa lazima wawe tayari kufanya kazi za wananchi kwa kadri walivyodhamiria.
Anasema kuwa bunge linakidhi mahitaji ya mfumo wa vyama vingi na kuna kipindi wasipokuwa makini kuna tatizo, anasisistiza kuwa jambo kuwa sio vyama ila ni bunge na hoja itakuwa ni kujenga bunge na sio vyama ili kuweza kujenga nchi .
Anawashukuru wote aliokuwa nao ndani ya bunge kwa muda wake wa vipindi viwili.
Katika kutekeleza ilani ya CCM anasema wote tushirikiane na kufuchua maovu yote ili kuijenga nchi na kazi hiyo sio ya mtu mmoja-maovu yafichuliwe kwenye ngazi za serikali za mitaa na serikali kuu.
Anawashukuru sana vyombo vya habari ktk kutoa habari kwa watanzania na atajitahidi kufanya nao kazi,ila taarifa zao watakazozitoa ziwe za kweli na zenye kukidhi haja ya watanzania.
Anawashukuru sana viongozi wa upinzani na wabunge wote wa upinzani kwa kazi waliyompa ngumu, na anaamini kuwa kwa jinsi anavyoona ni kuwa a=wataweza kushirikiana kujenga nchi kwa pamoja.
Anawashukuru waliompa kura na waliomnyima.
Anarudia kuwa yeye sio mwanasiasa ila ataendelea kujifunza na hapo wataweza kuleta maisha bora .
Anasema kuwa huenda pakawa na hisia juu ya ripoti ya richmond,anaamini kuwa hakuna hisia za nia mbaya ila ni njia ya kuweza kujenga nchi,anawapongeza wote waliojiuzilu na lowassa na anaamini kuwa hiyo ndio njia ya kujenga taifa na CCM .
anaomba kuambia ukweli juu ya yale yote watu wakiona kuwa hayajengi na yeye yupo tayari kuyaacha mara moja.
Habari Yafoo ushirombo, .........nangsha , any way nafikiri utagundua kwa salamu kama nina undugu au la, ila tunao, undugu wetu ni kuwa tulikuwa na mtete hatuna jogoom ikawa tunachukua jogoo wa kina msabaha kwa ajili ya kutagisha mtetea wetu kijini, hapo ndipo undugu akaanza
Sasa Nimpe pongezi Vladimir Putin wa Tanzania na hivi ndivyo vya muhimu livyosema katika hotuba yake.
Tufuatilie haya na kuilazimisha Seikali ifuate kauli hizi.
mwafrika wa kike!! Spare my ribs....hahahah sidhani kama kutakuwa na ugomvi jamani nimejiuliza tu nani atakuwa ameharibu kura? kuna mwingine alihisi mbunge wa Monduli maana bado yuko kwenye shock....
Bon week end
Si ya Karamagi?
"wakamPeleka Kwa Spika Wakamuuliza Wewe Ni Richmond hakujibu Neno. Spika Akaomba Muongozo Ndipo Lowassa Akasema Najiuzulu Wabunge Wakapiga Kelele Wakisema Asulubiwe Spika Akasema Mpelekeni Golgota Yapata Saa 11 Wakamsulubisha Kulia Karamangi, Kushoto Msabaha, Karamangi Akamwambia Umefanya Usanii Mwingine Jiokoe,wewe Basi Na Sisi Pia. Lowassa Akalia Kwa Kimasai Oongai Papalai Yaani Rais Mbona Umeniacha?, Kisha Akakata Roho
.MADELA WA- MADILU
Hebu fikiria, siku 7 tu zilizo pita hakuna mtu alikuwa na wazo kwamba MH Pinda siku moja angeweza kuwa PM.Hii inaonyesha kwamba uchaguzi wa PM haujafuata majina yalojikita kwenye siasa.
hatuwezi sema mengi sana kwani wengine Pinda hatumjui sana zaidi ya kujua kwamba ni mbunge
"wakamPeleka Kwa Spika Wakamuuliza Wewe Ni Richmond hakujibu Neno. Spika Akaomba Muongozo Ndipo Lowassa Akasema Najiuzulu Wabunge Wakapiga Kelele Wakisema Asulubiwe Spika Akasema Mpelekeni Golgota Yapata Saa 11 Wakamsulubisha Kulia Karamangi, Kushoto Msabaha, Karamangi Akamwambia Umefanya Usanii Mwingine Jiokoe,wewe Basi Na Sisi Pia. Lowassa Akalia Kwa Kimasai Oongai Papalai Yaani Rais Mbona Umeniacha?, Kisha Akakata Roho
Yup,
the same guys ingawa huyu mzee ametoka huko na "kuingia kwenye siasa" kwa hiyo hana connection zaidi na ambacho kimekuwa kinaendelea kuanzia mwaka 1994 huko usalama wa matumbo ya wakubwa serikalini oooopppppssss usalama wa taifa!
"wakamPeleka Kwa Spika Wakamuuliza Wewe Ni Richmond hakujibu Neno. Spika Akaomba Muongozo Ndipo Lowassa Akasema Najiuzulu Wabunge Wakapiga Kelele Wakisema Asulubiwe Spika Akasema Mpelekeni Golgota Yapata Saa 11 Wakamsulubisha Kulia Karamangi, Kushoto Msabaha, Karamangi Akamwambia Umefanya Usanii Mwingine Jiokoe,wewe Basi Na Sisi Pia. Lowassa Akalia Kwa Kimasai Oongai Papalai Yaani Rais Mbona Umeniacha?, Kisha Akakata Roho
-----------------------------------------------------------------
Yes, ooooooooopppppssss is what you should say, because you probably don't have all the facts about the new PM. well, here's the 411....
Ana sifa zifuatazo:
1. Anatoka sehemu iliyotulia kisiasa, CCM haina vurugu kule na hakuna wajanja wengi.
2. Amefanya kazi serikalini siku zote, ana shahada moja (better than Sumaye).
3. Hadhaniwi kuwa na political ambitions, as you can see until 2000, he has never been an elected official. Ila anaweza kubadilika kama alivyofanya Sumaye.
4. Hana makundi, hana washikaji, yupo yupo tu.
5. He is loyal and could be disciplined too.
6. he may consider JK's appointment of him as a PM to be a "favor", hence he may pay it back by being a "Yes Sir" man. He may do as he is told, and from what we see right now, JK is determined to "clean" his dirty closets.
7. Hana historia ya kupenda fedha na biashara kama alivyokuwa Lowassa.
8. Will be easy to control as he does not have a the "power" weapon that comes with money, popularity, etc.
Ben aliwahi kumpa siri JK hivi karibuni kuwa afanye kama yeye alovyofanya wakati wake....achague mtu ambaye "hatakupa shida". Upo hapo?
For more information, check out the PM's Resume below.
Positions
From
To
Organisation
Position
2008
Prime Minister's Office
Prime Minister
2006
2008
Prime Minister's Office
Minister of State for Regional Administration & Local Government
2005
Mpanda Mashariki Constituency
MP for Mpanda Mashariki
2000
2005
Prime Minister's Office
Deputy Minister in the Prime Minister's Office - Regional Administration & Local Government
1996
2000
President's Office
State House Clerk to the Cabinet
1982
1992
Prime Minister's Office - Government Press
Assistant Private Secretary to the President
1978
1982
President's Office
State House Security Officer
1974
1978
Ministry of Justice & Constitutional Affairs
State Attorney
1971
1974
University of Dar es Salaam
Undergraduate Student - LLB Law
Again, ooooooppppsssss!
"wakamPeleka Kwa Spika Wakamuuliza Wewe Ni Richmond hakujibu Neno. Spika Akaomba Muongozo Ndipo Lowassa Akasema Najiuzulu Wabunge Wakapiga Kelele Wakisema Asulubiwe Spika Akasema Mpelekeni Golgota Yapata Saa 11 Wakamsulubisha Kulia Karamangi, Kushoto Msabaha, Karamangi Akamwambia Umefanya Usanii Mwingine Jiokoe,wewe Basi Na Sisi Pia. Lowassa Akalia Kwa Kimasai Oongai Papalai Yaani Rais Mbona Umeniacha?, Kisha Akakata Roho
Haya ni maneno yako na una right ya kuyasema na kuyasimamia na ukimaliza unaweza kupelekea nyumbani wayasome! get it?
Hivi mafisadi wote wakiondoka, JF tutafanya nini? JF inaweza kufa.
Tusiwalani sana mafisadi maana wakitoweka, hapa JF patabore kweli kweli.
Mafisadi ni ndugu zetu na wanaipandisha JF. Kunaweza kuwa na conflict of interest hapa, JF hawataki mafisadi waondoke, maana kijiwe chetu kitapoa.
Nawikilisha hoja!