Mkuu,hiyo dili siyo ya watatu...wapo wengi ila mh February alijisahau pale alipodai kwamba "serikali ya awamu ya nne ilijaa kubebana".Kwahiyo Mange anapata data toka kwa waliochukizwa na kauli ya February.Wakati huo huo Mange anasema anatumiwa hizo data.Vilevile hata mtiririko wa utoaji wa hizo clip,ni mpango maalum ilo wahusika wajichanganye kabla Mange hajaachia vitu vya ukweli zaidi kitaalamu.Nimemtaja yeye kama mhusika mkuu kutokana na nyazifa zake kisiasa, nafasi yake katika jamii na historia yake kwenye uwanja wa siasa na maamuzi mengi yaliyotokana na yeye...kwenye hii skendo iliyoko kwenye hatua za tuhuma yeye ndio muathirika mkuu...kwahiyo busara uvumilivu mkubwa akili iliyo sharp na werevu vilihitajika sana kipindi hiki
Hii ni vita yenye pande nyingi na wapambe wengi...mbinu bora zinahitajika ili kuweza kushinda vita
Vyovyote vile iwavyo kuna kufahamiana kwa karibu kati ya watatu hawa January Mwamvita na muitaliano na kwa vyovyote kulikuwa na makubaliano fulani fulani yaliyohusisha pesa nyingi (za rushwa?)ahadi za upendeleo kwenye mambo fulani nk nk
Kwa kulifahamu hili na zile tambo za bibie Kimange...kwamba ana lundo la ushahidi wa kila aina, Makamba hakupaswa kujibu lolote kwasasa...angekaa kimya akinote kila kitu yakiwemo malumbano ya mitandaoni, angesubiri walau kwa siku kadhaa aone kimange anajua kiasi gani
Kuwalipa haraka haraka vijana wa mtandaoni wakanushe kijinga kabisa na yeye kukimbilia kukanusha kumempa kimange credit moja kubwa sana
Kimange anajulikana alivyo mchokonozi na mdaku, hivyo mpaka jana jioni watu walikuwa hawamuamini kivile na hakukuwa na post nyingi...lakini baada tu ya watuhumiwa kuongea na kukiri baadhi ya mambo mjadala ukageuka mwelekeo na post zikaongezeka maradufu....!
Makamba kama kiongozi aliyekuwa msaidizi wa rais (nafasi kubwa sana hii) alipaswa kuwa na subra katika hili ili mihemko kwenye mitandao ipoe apate pa kuanzia
Bahati mbaya sana the guilty are afraid hiyo ni kanuni ya maisha...alipaniki kwa kuguswa pabaya bila maandalizi
Wakati ushahidi na ukweli ndio vitaleta mizania ya haki...lakini mpaka tutakapofika huko Makamba atakuwa sio huyu tena....!
Jipu limetumbuliwa wikiendi mwache akaugue mbele kwa preshaMkuu, Kuna jipu la ikulu limetumbuliwa nina waraka wake hapa sema ngoja watupie kwanza maana hukawii kuambiwa umevuruga amani. Ila mtangaza wenzake nae tayari bado huyu dogo
Lakini pia lazima ujue JPM alijifungia ndani muda mrefu sana kuteua hao watu. Kumteua January, Nape, Jenista na wengine mimi ningetumia siku mbili tu. Hapo lazima tuwe na mashaka na umakini wa mheshimiwa rais.Hapa ndipo ninapopata shida mimi. Kama JPM aliamini kuwa watu alionao kwenye baraza la mawaziri ndio wazuri na wasafi zaidi ya watu wengine kwenye CCM, sasa hali ikiwa hivi itafika muda atakuja jikuta yuko peke yake maana wasaidizi wake wote watakuja jikuta wana skendo za rushwa na ufisadi. JE TUTAFIKA?
Mange hutumiwaga habari na yeye kuzi post ila awe makini ujuaji mwingi ni hataree atakuja kuishia kubayaNdio maana yake sasa unafikria katika hali ya kawaida Mange hizo habari katoa wapi ,lazima kuna mastermind wa hii ishu nyuma yake ,ngoja kesho ifike tutaskia mengi ,
Ila huyo wa ikulu mda wake wakustaafu ulishafika tayari akiingia new president lazima huwa Stoke sasa huyu Yale magazeti kumuandika ilikuwa siku magu akimpuzisha apate ujikoMkuu, Kuna jipu la ikulu limetumbuliwa nina waraka wake hapa sema ngoja watupie kwanza maana hukawii kuambiwa umevuruga amani. Ila mtangaza wenzake nae tayari bado huyu dogo
Nadhani hilo atakua analijua vizuri tu ,na ndio maana sio tatizo kwake kuwataja wauza unga wakati Jk alikaa na majina chini ya uvungu IkuluMange hutumiwaga habari na yeye kuzi post ila awe makini ujuaji mwingi ni hataree atakuja kuishia kubaya
Tatzo la January makamba kakurupuka kujibu pasipo kujua source of information na kwa hali ilivyo.sasa mh Janaury Makamba yampasa kujiuzulu na kukaa pembeni hili kuruhusu uchunguzi ufanyike dhidi yake kabla hajachukuliwa hatua na boss wake
Samahani mkuu hii emoji maana yake nini nisaidie aisee lasivyo ntaendelea kung'aa macho
Asante sana mkuu ngoja niitafute appNi vipichapicha vyenye kuonyesha hisia mbalimbali ukiwa na JF app ndio unaviona
hpo ndio watashika adabu zao.ukiongea upuuzi tu jamaa anachomoa karatasi moja tu kwenye fail lako!!ukionekan ngangari ananyofoa la pilii!!!hahahahh hpo lazima ukae tu.dogo kamaindi akajivua surual watu wamevua na boer kbisaa.haya wacha tuendelee kupata uhondoMwanzoni mwa wiki hii aliutukana utawala wa kikwete kuwa ulijaa kulindana, wakati yeye alikuwa sehemu ya utawala huo na maovu yake mengi yanajulikana kwa Kikwete....ni mwendawazimu tu ambaye angemwacha dogo atambe