TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
teh teh ngoja ni park pembeni,kuna watu wanakuja watakujibu
We twende kwenye siasa za mavi
teh teh ngoja ni park pembeni,kuna watu wanakuja watakujibu
We twende kwenye siasa za mavi
Nimependa the way ulivyo-reason mkuu, in law we call it 'logical reasoning'.
uchumi! uchumi! uchumi!! wanao ndo maana,, na wanajua kuutumia......
Asante kaka, maana yake ni kwamba sisi wanaume tunatakiwa kutafuta sana mkate unaotutosha sisi na wao pia, otherwise tutabaki kwenye kundi ambalo si la kusamehewa, kundi la kulalamika tu na kutopata vitu vizuri kutoka kwao, tunabaki kusema "Wakubwa wanafaidi" kumbe ni kwamba wanafaidi kwa sababu wanatekeleza vizuri adhabu zao.
Kwa maana nyingine ni kwamba, mwanamke atamzalia yule atakayemlisha.

Dah! nilikumiss pia Heaven mchumba wangu! mbona umeadimika sana? twende PM basi...
We jamaa una akili sana. Lazima mwanaume ukomae na uwape ,tena uwaongeze na vijae mpaka vimwagike. Sasa ole wenu mkimbiao majukumu.
cc:waigizaji wa kike bongoMshahara wako 270,000
Handbag yako inagharimu 140,000
Unamiliki GX 110...
Hills zako 120,000
Above all,
Unatumia Note 3
Then unaenda kanisani kuomba wkt wewe mwenyewe UNATENDA MIUJIZA!
Wanao? We huna? Mbona unawatenga? Haaa miss chagga unaniangushaa mamangu
me ninao tena matata
cc:waigizaji wa kike bongo
miss chagga are u serious?
am serious ukionja tu unaanza toa ahadi mwenyewe
nadhani tuliangalie hili kwa upande mwingine tofauti na watu wanavofikiri.., siku hizi (achana na enzi za mwalimu) watu mishahara midogo lakin mambo makubwa.., inawezekana huyu mdada ni accountant, salesperson wa cmpny fulan,purchasing officer au hata store keeper.., hivi vitengo wanapiga hela knoumer..,Mshahara wako 270,000
Handbag yako inagharimu 140,000
Unamiliki GX 110...
Hills zako 120,000
Above all,
Unatumia Note 3
Then unaenda kanisani kuomba wkt wewe mwenyewe UNATENDA MIUJIZA!