Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,607
nadhani tuliangalie hili kwa upande mwingine tofauti na watu wanavofikiri.., siku hizi (achana na enzi za mwalimu) watu mishahara midogo lakin mambo makubwa.., inawezekana huyu mdada ni accountant, salesperson wa cmpny fulan,purchasing officer au hata store keeper.., hivi vitengo wanapiga hela knoumer..,
imagine kuna jamaa ni store keeper wa vipuri vya magari hapa kazin kwetu, yupo too local na very innocent lakin msiba ulimuumbua.., kapiga hela mpaka kajenga ghorofa na mshahara wake wa 320,000. mjin mipango, msidhan mdada kumiliki vitu vya bei kahongwa, wengine wanapiga 10% kama wafanyavyo wanaume..
Hilo neno wafuasi wa CDM wakikusikia!