Miujiza, Maigizo na Maagizo pale KAWE

Miujiza, Maigizo na Maagizo pale KAWE

Mbona fimbo zote zafanana?

Mbona wanavutwa na maaskari wadondoke chini?

Mbona watoa shuhuda sura zinakuwa blurred?

Mbona wanaodondoka wanawekewa MIC mdomoni wakiwa wanalia?

Kwanini wanaolia wanaletwa mbele kwa lazima na kisha wakiwekwa chini wanaacha lia?

Kwanini wengine ambao hawalii wakienda mbele wanarudishwa?

Je, serikali imeamua bariki uhuni huu au inanufaika?
Ulitaka serikali ifanye nini mkuu?
 
watu ambao elimu ilitangulia kwao wanajua vita ya uchumi inafananaje! wanyakyusa ni wahuni sana. mwamposa anaishi maisha ya dream yake, waache wajinga waendelee kuliwa
 
Mbona fimbo zote zafanana?

Mbona wanavutwa na maaskari wadondoke chini?

Mbona watoa shuhuda sura zinakuwa blurred?

Mbona wanaodondoka wanawekewa MIC mdomoni wakiwa wanalia?

Kwanini wanaolia wanaletwa mbele kwa lazima na kisha wakiwekwa chini wanaacha lia?

Kwanini wengine ambao hawalii wakienda mbele wanarudishwa?

Je, serikali imeamua bariki uhuni huu au inanufaika?
wajinga ndiyo huliwa!...waache watafunwe
 
Mwamposa ni mwizi na janga la Taifa.
Mimi ninachoamini pale pana uponyaji wa kweli kwa wanaoamini maana anayeponya sio mwamposa bali ni mungu kupitia mtumishi wake, pia jiulize kama ni mwizi tusingesikia watu wakishuhudia kila siku kutoka mikoa mbali mbali, wengine mpaka nje ya nchi, ila wenye mioyo migumu na wasioamini kama wewe wapo tangu zamani hata yesu mwenyewe hawakumwamini.
 
mwamposa amefanya miujiza mingi kuliko ata yesu kwa kipindi kifupi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisani sini, na pia si mpagani.

There is no mutual exclusivity.
Karibu tujifunze, sisi hatutoi miujiza, tunajifunza kumjua Mungu na Yesu kama Mkombozi na Mwokozi wetu.

Au popote ulipo hata hapo Marekani tembelea SDA church yoyote ile kuanzia saa 9 hadi saa 6 mchana.

Au tembelea Youtube

South Tanzania Conference

Tegete SDA Church

Magomeni SDA Church

Mwenge SDA Church

Morning Star TV

Hope Channel Tz
 
Mimi ninachoamini pale pana uponyaji wa kweli kwa wanaoamini maana anayeponya sio mwamposa bali ni mungu kupitia mtumishi wake, pia jiulize kama ni mwizi tusingesikia watu wakishuhudia kila siku kutoka mikoa mbali mbali, wengine mpaka nje ya nchi, ila wenye mioyo migumu na wasioamini kama wewe wapo tangu zamani hata yesu mwenyewe hawakumwamini.
Jitambue ww hana uponyaji yoyote huyo. wewe ulishamshudia anaumwa akajiombea akapona
 
Karibu tujifunze, sisi hatutoi miujiza, tunajifunza kumjua Mungu na Yesu kama Mkombozi na Mwokozi wetu.

Au popote ulipo hata hapo Marekani tembelea SDA church yoyote ile kuanzia saa 9 hadi saa 6 mchana.

Au tembelea Youtube

South Tanzania Conference

Tegete SDA Church

Magomeni SDA Church

Mwenge SDA Church

Morning Star TV

Hope Channel Tz
Unanilazimisha sasa? Nishakwambia siji.
 
Jitambue ww hana uponyaji yoyote huyo. wewe ulishamshudia anaumwa akajiombea akapona
Fungua tv arise and shine saa tatu usiku kwenye operation komboa familia usikie shuhuda za watu, nadhani utabadili mtazamo wako na utaongeza imani yako nawe siku moja utaanza kuamini.
 
Njaa mbaya sanaa, mtu anawezaje kuwaombea wengine wakapate utajir si uganga huo
 
Apostle kuna muujizaa
Nini kimetokeaa?

Mwampopo anaintroduce maji yake baada ya kufungua hotel southern highland
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom