Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 635
- 1,485
Serikal Yako inakuibia Kila siku umetuliza makalio kimya unaona sawa..anza na kina ssh na kina tra kwanza ndio tujue una uchungu...Mbona fimbo zote zafanana?
Mbona wanavutwa na maaskari wadondoke chini?
Mbona watoa shuhuda sura zinakuwa blurred?
Mbona wanaodondoka wanawekewa MIC mdomoni wakiwa wanalia?
Kwanini wanaolia wanaletwa mbele kwa lazima na kisha wakiwekwa chini wanaacha lia?
Kwanini wengine ambao hawalii wakienda mbele wanarudishwa?
Je serikali imeamua bariki uhuni huu au inanufaika?
USA anaibia Dunia Kila Kona thus why anasurvive na kuwa jinsi alivyo...
Sadaka zote makanisani ni wizi wa hao viongoz wa makanisa dhidi ya maskini wasiojua ukweli...
Kazin kwako sijui kiwandan sijui kampun sijui Kwa mchina sijui halmashauri,,wafanyakazi mnaibiwa na umekaa kimya..ajabu ulivo mnafiki unaona ya kawe tu Kwa mwamposa!!!!!😂😂😂
Nb,,hakuna utajir duniani bila kunyonya na kuibia watu...wajinga lazima waibiwe tuu ndio nature iyo.