Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,948
- 147,806
SawaNabii wa Uongo
Mshirikina
Tapeli
SawaNabii wa Uongo
Mshirikina
Tapeli
Umesema anakunya au anakojoa ?Huyu ndo nilikuwa namuongelea.
Hivi waamini kabisa mtu anajisaidia msumari?
Ngoja akupige kimbora kwanza alafu uende kwake akakiondoeYule ni Tapeli
Nabii wa Uongo
Mchawi
Mshirika wa Shetani
Sio lazima uamini bhana,tulioamini ndiyo tumetendewa na dogo yupo safiiii, tunamsubiri mwamposa afike songea tukatoe ushuhudaHuyu ndo nilikuwa namuongelea.
Hivi waamini kabisa mtu anajisaidia msumari?
Wenye matatizo zaidi ni sisi wakristo tunaopondana sisi kwa sisi.Usicheke
Mkaribishe mwenzako kanisani
Kanunue maji na mafutaNataka niende kwa mwampopo nikaroge nikioa wake wawili kusiwe na nongwa
SawaWewe naye ni tapeli
Mwamposa bulldozaSawa
Eee kwa hio ni tapeliSijamponda mtu mie nimemwambia ukweli tu.
Na hawa matapeli lazima wamabiwe ukweli kama waabudu sanamu
Hajanasa bado ngoja apigwe kimbora asiende choo mwezi mzimaOmba yasikukute ndo utajua tapeli au mwizi kwa lopoka sana .
Ulishaona magongo ya vilema wote yanafanana?Eee kwa hio ni tapeli
ApostoooooooMwamposa bulldoza
Yeye haangalii hayo yeye anaangalia maokoto as long as miamala inasoma upone usipone yeye haimuhusu hajakuitaUlishaona magongo ya vilema wote yanafanana?
Ulishawahi shuhudia mtu mwenye mapepo?
Wale wote pale waigizaji
Kuna watu wengi hutoka pale wakiendelea kuumwa na kuamua rudi hispitali.
Ni swala la muda tu yote yatajulikana