Miujiza, Maigizo na Maagizo pale KAWE

Miujiza, Maigizo na Maagizo pale KAWE

Ulishaona magongo ya vilema wote yanafanana?

Ulishawahi shuhudia mtu mwenye mapepo?

Wale wote pale waigizaji

Kuna watu wengi hutoka pale wakiendelea kuumwa na kuamua rudi hispitali.


Ni swala la muda tu yote yatajulikana
Wewe huwezi kupona,coz hauna Imani.
 
Yeye haangalii hayo yeye anaangalia maokoto as long as miamala inasoma upone usipone yeye haimuhusu hajakuita
Nadhani umeona utapeli wake sasa, lengo ya zile shuhuda ni ili wajinga wengine waende.

Na ndo maana huwezi kuta mtu wa kutokea Dar anatoa ushuhuda wengi ni wapumbavu kutoka Songea huko
 
Nadhani umeona utapeli wake sasa, lengo ya zile shuhuda ni ili wajinga wengine waende.

Na ndo maana huwezi kuta mtu wa kutokea Dar anatoa ushuhuda wengi ni wapumbavu kutoka Songea huko
Mimi sipendi kuzungumza kuhusu hao jamaa hawachelewi kurusha kimbora, wewe endelea I'm out
 
Yaishe,umeshinda,


Na mie nilikuwa zaidi yako,nilikuwa nasema maigizo,


Nikaikumbuka hii KAULI(KICHAA ANACHEKESHA AKIWA HATOKEI KATIKA FAMILY YENU)
Hao matapeli nawafahamu sana.
 
Sijamponda mtu mie nimemwambia ukweli tu.

Na hawa matapeli lazima wamabiwe ukweli kama waabudu sanamu
Mimi nilipona hapohapo kwa Mwamposa
Na ndugu zangu wamepona.

Hivi nipo naangalia operation komboa familia.
IMG_20230719_230122_261.jpg
 
Nilijua tu we naye wale wale kasoro siku.

Siku ukipika keki nikumbuke
Yeah
Mimi ni yuleyule Saint Anne.

Usiwaache ndugu zako wakafa kwa matatizo,Mungu ana namna nyingi za kuyatatua,,wapeleke huko kama mnaamini.

Njoo uniungishe Mkuu
 
Mbona fimbo zote zafanana?

Mbona wanavutwa na maaskari wadondoke chini?

Mbona watoa shuhuda sura zinakuwa blurred?

Mbona wanaodondoka wanawekewa MIC mdomoni wakiwa wanalia?

Kwanini wanaolia wanaletwa mbele kwa lazima na kisha wakiwekwa chini wanaacha lia?

Kwanini wengine ambao hawalii wakienda mbele wanarudishwa?

Je, serikali imeamua bariki uhuni huu au inanufaika?
Hakuna anae shikiwa Bunduki a.k.a Mtutu kwenda pale....
 
Nenda Kawe kapokee Miujiza ndugu,,, Mimi nilikuwa mbishi hivyo hivyo,, siku Moja nikiwa Sina hili Wala lile naelekea zangu beach kawe,,, Kuna karoho kakaniambia pita apo arise and shine dakika Moja. Nikaenda nimekuta watu wanatoa sadaka hasa wale sijui waliochelewa ,, nilitoa elfu mbili tuu maana mfukoni nilikuwa na elfu 5 pekee. Huwezi amini jamaa alisema Kila mtu anyanyue simu yake kabla ya kuondoka lazima utapokea habari njema. Kabla ibada haijaisha Kuna mtu nilikuwa nishasahau deni linakaribia miaka 2 muamala ulisoma pale pale. Shuhuda ya pili Ile siku nikanunua mafuta ya buku pia home alikuja sista angu tangu 2020 anasaka ajira ,,, nikamwambia fatilia arise and shine andika maombi 12 uvuke mwaka na ajira yako. Dogo saivi yupo zake ameshapata ajira Tena salary amenizidi mpk braza kaka. Kwa hiyo maswala ya Imani siyo ya kubeza ACHA watu waamini kama inawasaidia wasipangiwe namna ya kuendea madhabahu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom