Wasiojitambua hawawezi kujua umuhimu wa madhabahu ya Arise & Shine.Kama bado hujakutana na muujiza wa madhabahu Ile Basi lazima uhisi Ni maigizo.Mimi Ni shahidi namba 1 wa madhabahu Ile.Kwa sababu nimeshuhudia na Ni hakika nimepona,na ndugu zangu wawili pia..tulifunga Safari toka mkoani Hadi kawe. Mateso yote,shida zote,magonjwa yote yaliyowashinda waganga nguli zaidi ya 23,tena kutokea mikoa 6 tofauti,tukiwa tumetumia gharama kubwa zaidi ya million 6 kutafuta uponyaji...hatimaye yote yaliisha ndani ya dakika chache mno!!!Sasa unaanzaje kuniambia nisimuelewe???KWA HIYO IWE MWAMPOSA NI MGANGA,IWE NI MCHAWI KONKI,IWE NI MSHIRIKINA MIMI SIJUI...NINACHOJUA MIMI NILIPONYWA NA SHIDA ZANGU ZOTE ZILIKWISHA PALE TENA BILA GHARAMA YOYOTE!!

