Miujiza, Maigizo na Maagizo pale KAWE

Miujiza, Maigizo na Maagizo pale KAWE

Kuna mahali nilienda na Swahiba kushuhudia akitaka kupata huduma.

JAMAA: Mchungaji flani yupo?

MUUMINI: "Una shida na Baba?"

JAMAA: Namuulizia Mchungaji aitwaye hivi.

MUUMINI: "Anaitwa Baba, ukimuuliza kwa namna hiyo huwezikumpata hapa kanisani"

JAMAA: Sawa, kabla hajafika alipokuwa akimsubiri baada ya MUUMINI kwenda kumwita, nilimvuta kwa nguvu JAMAA nikamwambia "tuondoke haraka maana BIBLIA inajieleza anayepaswa kuitwa BABA kiroho ni Mungu pekee"

Kiufupi tu tulisepa mazima na JAMAA alipata huduma ya kiroho kwenye dhehebu jingine kabisa na alipokea majibu kiimani.

Japo si wote ila madhehebu ya Walokole wamejaa Matapeli sana

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wezi mno...utasikia wanataka sijui kununuliwa gari na kujengewa nyumba.
 
Mbona fimbo zote zafanana?

Mbona wanavutwa na maaskari wadondoke chini?

Mbona watoa shuhuda sura zinakuwa blurred?

Mbona wanaodondoka wanawekewa MIC mdomoni wakiwa wanalia?

Kwanini wanaolia wanaletwa mbele kwa lazima na kisha wakiwekwa chini wanaacha lia?

Kwanini wengine ambao hawalii wakienda mbele wanarudishwa?


Je serikali imeamua bariki uhuni huu au inanufaika?
Akili kumkichwa mkuu. Siku zote huwa siyaamini hata kidogo makanisa ambayo shuhuda zake mtu anaenda kanisani hana miguu halafu anarudi na miguu..
 
nina matatizo mlima.ila ntakua wa mwisho kwenda kuombewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom