Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,591
- 19,848
Kumbuka serikali nayo Ina pato lake kutoka kwenye hiyo michezo na maigizo.
Mwamposa kakufanyaje[emoji23][emoji23]Utasikia wanamuita baba wakiwa na huyo tapeli wanajiona kama wapo karibu na mungu.
Halafu hizo fimbo zipo Songea naa Kigoma alipokuwa kwenye maonyesho yake..huyu mtu serikali inamuangalia tu ni hatari sana kaua sana watu kupitia hayo maji yake watu wanaacha kunywa dawa za hospital.Kwanini fimbo zote zinafanana?
Je vilema wanatumia fimbo nyembamba vile?
Hana cha kunifanya nasikitika tu anapomchezea mungu anadanganya watu huku yeye akiumwa anaenda hospoitalini kujitibu wengine anawapa maji na mafuta.Mwamposa kakufanyaje[emoji23][emoji23]
Wangapi wanakufa kwa ma dawa hayo hayo wanayokunywa wakiaminishwa ndio tiba na husemi ?Halafu hizo fimbo zipo Songea naa Kigoma alipokuwa kwenye maonyesho yake..huyu mtu serikali inamuangalia tu ni hatari sana kaua sana watu kupitia hayo maji yake watu wanaacha kunywa dawa za hospital.
Tueleze ww unajua ukweli na achana na huu upumbavu ulioandikwa.Una uhakika na ulicho andika ?
Una taarifa kamili juu ya madai au maswali yako ?
Umeandika upumbavu mwingi mno.
Je hayo madawa yanadanganya watu je huyo tapeli wako kasomea utabibu na kwa akili zako unadhani anatibu?Wangapi wanakufa kwa ma dawa hayo hayo wanayokunywa wakiaminishwa ndio tiba na husemi ?
Blaza, ile ni biashara blaza, ha ha ha ha!Mbona fimbo zote zafanana?
Mbona wanavutwa na maaskari wadondoke chini?
Mbona watoa shuhuda sura zinakuwa blurred?
Mbona wanaodondoka wanawekewa MIC mdomoni wakiwa wanalia?
Kwanini wanaolia wanaletwa mbele kwa lazima na kisha wakiwekwa chini wanaacha lia?
Kwanini wengine ambao hawalii wakienda mbele wanarudishwa?
Je serikali imeamua bariki uhuni huu au inanufaika?
Kuna mahali nilienda na Swahiba kushuhudia akitaka kupata huduma.Utasikia wanamuita baba wakiwa na huyo tapeli wanajiona kama wapo karibu na mungu.
Na yeye ajiseme kama ni mganga tu twende tukijua.Mkitapeliwa na waganga wa kienyeji ni ruksa,mwamposa kosa lake nini
Unaropoka tu.Je hayo madawa yanadanganya watu je huyo tapeli wako kasomea utabibu na kwa akili zako unadhani anatibu?
Haya ndio maamuzi ya kiume sasa.Mke wangu akienda kwa Mtume na Nabii (ambao wote ni waongo) ataolewa naye.
Mbona hasira mpendwa mwana wa jizi Mwamposa.Unaropoka tu.
Nina uhakika ukiambiwa uthibitishe maneno yako na kutetea hoja zako ni mweupe pee kuanzia kichwani.
MATHAYO 10:8-10.Luka 9:60 ;Akamwambia, “Waache wapumbavu wawapumbaze wapumbavu wenzao; bali wewe nenda ukapambane na maisha yako.”
Mkuu usiaribu biashara za watu basiMbona fimbo zote zafanana?
Mbona wanavutwa na maaskari wadondoke chini?
Mbona watoa shuhuda sura zinakuwa blurred?
Mbona wanaodondoka wanawekewa MIC mdomoni wakiwa wanalia?
Kwanini wanaolia wanaletwa mbele kwa lazima na kisha wakiwekwa chini wanaacha lia?
Kwanini wengine ambao hawalii wakienda mbele wanarudishwa?
Je serikali imeamua bariki uhuni huu au inanufaika?
Nyie hamjui tu,Haya ndio maamuzi ya kiume sasa.