Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
Sasa hao mitume gani wanajipiga selfie na kumiliki account za facebook na badoo
Wale wa Gamboshi na hawa 400 wote 'mungu' wao ni baali.Ni tofauti na wale wa Gamboshi au ni walewale?
Shia mtume wao ni nani?...... Naomba kuelimishwa ustaadh!Ushia ni Dini kama Dini nyengine Chief
ila wamejivika ngozi tu ya Uislam
Mwingira ni mtume na nabii, yeye yuko pembeni ya mungu na huko wanakounga mkono kama tulivyowahi kuambiwa ni zaidi ya yesu kwa matendo yake!Mitume wengine watasimikwa kwenye uchafuzi wa serikali za mitaa.
Hii movie ni WRONG TURNHao wa Gamboshi na hawa manabii wa baali wote ni wamoja
Shia sijui Mtume wao ni NaniShia mtume wao ni nani?...... Naomba kuelimishwa ustaadh!
Mfano Mdogo tu ChiefShia mtume wao ni nani?...... Naomba kuelimishwa ustaadh!
Wewe wasema.SHIA SIO WAISLAM BRO
JUA HILI,NA WALA USILAZIMISHE
BARIKIWA SANA CHIEF
Sema WEZI zaidi ya 400Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.
Source gazeti la Uhuru!
Mitume.na manabii wa Uhuru NewsMitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.
Source gazeti la Uhuru!
Ila tuache utani Magufuli anapenda sana kujinasibisha na dini. Kama mfalme Hery V wa Uingereza.Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.
Source gazeti la Uhuru!
Bado kuna wale wachawi 900 waliopiga bit kule Gamboshi kuwa atayempinga Magufuli atakufa🤣🤣🤣🤣🤣Kwahiyo Mitume na Manabii 400 wamemsujudia Magufuli je wanamtawaza kuwa mungu?!