Mitume zaidi ya 400 wamuunga mkono Rais Magufuli

Kama ni mkristo, unajua kulikuwa na mitume 12 tu waliochaguliwa na Kristo Masiha mwenyewe. Hawa ni mitume wa nani?

Kama ni muislam, unajua mtume ni mmoja tu. Hawa ni mitume wa wapi? Lucifer?
Inategemea na dhehebu. Christianity na Islam zina mdhehebu mengi (In thousands depending on your source).
Siyo wakatoliki tu, au walutheri ndiyo wakristo. Hata watu wa Efatha(?) Ni wakristo pia.
Shia nao ni waislam na wana mitume wengi.
So .... step outside the box for a min and just let'em be.
 
Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.

Source gazeti la Uhuru!
Nimevutiwa zaidi na source(chanzo cha habari) zaidi ya habari yenyewe.
 
Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.

Source gazeti la Uhuru!
Watakuwa ni matakataka/makanjanja
 
Nao wana uhuru wao wa kutoa maoni, including kuunga mkono au kupinga bila kuvunja sheria za nchi.

Pia, ieleweke kuwa ni jambo jema kwa kiongozi na viongozi wa nchi kuungwa mkono kwa mazuri watakayoamua tuyafanye na kupingwa kwa yoyote mabaya watakayojaribu kufanya au kuamua tuyafanye.

Mimi sina tatizo na utume wa hawa wanaodaiwa kumuunga mkono raisi wao, kwa sababu ni wao tu na huyo aliyewapa huo utume wanajua yote kuhusu walichotumwa.

Tatizo langu lipo kwenye hicho chanzo cha habari hii njema. Kama chanzo cha habari hakina hadhi, na habari pia inakosa hadhi.

Nionavyo, hii imekaa kishabiki zaidi kuliko kimantiki.
 
Kama ni mkristo, unajua kulikuwa na mitume 12 tu waliochaguliwa na Kristo Masiha mwenyewe. Hawa ni mitume wa nani?

Kama ni muislam, unajua mtume ni mmoja tu. Hawa ni mitume wa wapi? Lucifer?
Mitume na manabii wa uongo waliotabiliwa na Yesu.
 
Inategemea na dhehebu. Christianity na Islam zina mdhehebu mengi (In thousands depending on your source).
Siyo wakatoliki tu, au walutheri ndiyo wakristo. Hata watu wa Efatha(?) Ni wakristo pia.
Shia nao ni waislam na wana mitume wengi.
So .... step outside the box for a min and just let'em be.
Mitume na manabii wa uongo waliotabiliwa na Yesu.
 
Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.

Source gazeti la Uhuru!
Wametumwa na nani? Au na shetani maana Mungu alisha fungu hiyo kitu ya kutuma mitume
 
Unasemaje???
Inategemea na dhehebu. Christianity na Islam zina mdhehebu mengi (In thousands depending on your source).
Siyo wakatoliki tu, au walutheri ndiyo wakristo. Hata watu wa Efatha(?) Ni wakristo pia.
Shia nao ni waislam na wana mitume wengi.
So .... step outside the box for a min and just let'em be.
 
Inategemea na dhehebu. Christianity na Islam zina mdhehebu mengi (In thousands depending on your source).
Siyo wakatoliki tu, au walutheri ndiyo wakristo. Hata watu wa Efatha(?) Ni wakristo pia.
Shia nao ni waislam na wana mitume wengi.
So .... step outside the box for a min and just let'em be.
Point!
 
Back
Top Bottom