Mitume zaidi ya 400 wamuunga mkono Rais Magufuli

Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.

Source gazeti la Uhuru!
Mungu afhiakiwi.
Mungu na Muuaji wapi na wapi?
 
Kama ni mkristo, unajua kulikuwa na mitume 12 tu waliochaguliwa na Kristo Masiha mwenyewe. Hawa ni mitume wa nani?

Kama ni muislam, unajua mtume ni mmoja tu. Hawa ni mitume wa wapi? Lucifer?
Mtume kwa kigiriki Apostolos maana yake aliyetumwa..acheni kukariri
 
Mitume na manabii wa uongo waliotabiliwa na Yesu.
Kwa sababu wewe unaamini Yesu ni nabii wa ukweli, haimaanishi kila mtu anaamini hivyo.
Kuna watu wanamuita Yesu nabii wa uwongo. Na simaanishi watu wa mataifa tu.
 
Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.

Source gazeti la Uhuru!
Kuna mmoja ana kajikanisa huku mtaani kwetu.
Huwa hawazidi waamini 20. Kelele za speaker ndiyo nyingi. Naye ni Mtume eti.
Ole wao NEMC wazuie kelele zake wakati keshaunga mkono juhudi.
 
Waislam hatuna mtume mmoja tumeombe radhi kwanza
Kama ni mkristo, unajua kulikuwa na mitume 12 tu waliochaguliwa na Kristo Masiha mwenyewe. Hawa ni mitume wa nani?

Kama ni muislam, unajua mtume ni mmoja tu. Hawa ni mitume wa wapi? Lucifer?
 
Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.

Source gazeti la Uhuru!
Hivi JF bado haina mitume na Manabii wake humu maana sasa utume na unabii ni sifa kama za maskani unaweza kupewa ukiwa mjanja tu mjini ila mitume na manabii wa Mungu. Imekwisha hakuna tena tusidanganyane waliokuwepo mitume maslahi tu.
 
Unakumbuka mfalme Ahabu alipotaka kwenda vitani a aliungwa mkono na manabii 400 lakini Mfalme Yehoshafati akamwambia Watafute Nabii mwignine ambaye alikuwa nadhani Elisha.Fuatilita kilichotokea.

Ukiona unaungwa mkono na manabii 400 ujue hiyo ni Code (fumbo). Maana Mungu sio lazima aseme na manabii wengi
 
Hiki cheo cha UNABII unatumika vibaya sana na waafrika, kimefanya ni kitega uchumi wa majambazi, wahalifu na walaghai.

Wengi wao wantumia vitabu vitakatifu na kuvifanya nduo silaha yao kubwa ya kwadhulumu watu masikini, cha kushangaza watu wenye elimu na wasomi nao pia wameangukia janga hili wakiwa macho.

Hawa majangili kujiunga na serekali ya chama changu ni aibu kubwa sana. Mheshimiwa Magufuli nakushauri kaa mbali nao, hao hata dua zao hazikubaliki bali zinageuzwa kuwa laana.
 
Kama ni mkristo, unajua kulikuwa na mitume 12 tu waliochaguliwa na Kristo Masiha mwenyewe. Hawa ni mitume wa nani?

Kama ni muislam, unajua mtume ni mmoja tu. Hawa ni mitume wa wapi? Lucifer?
Uislam hausemi kuwa Mtume ni mmoja tu

Bali Mitume wa Mola ni wengi takriban 25,na Manabii ni wengi zaidi ya Laki

Lkn...Utume umekomea kwa Mtume wetu Mohammad Sala na Salamu ziwe juu yake

Hakuna tena Mtume wala Nabii baada yake

Katika Mitume wakuu ni hawa wafuatao
1)NUUH

2)IBRAHIM

3)MUSSA

4)ISSA(YESU)

5)MOHAMMAD

SALA NA SALAMU ZIWE JUU YAO
 
Inategemea na dhehebu. Christianity na Islam zina mdhehebu mengi (In thousands depending on your source).
Siyo wakatoliki tu, au walutheri ndiyo wakristo. Hata watu wa Efatha(?) Ni wakristo pia.
Shia nao ni waislam na wana mitume wengi.
So .... step outside the box for a min and just let'em be.
SHIA SIO WAISLAM BRO

JUA HILI,NA WALA USILAZIMISHE

BARIKIWA SANA CHIEF
 
Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.

Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.

Source gazeti la Uhuru!
Ni tofauti na wale wa Gamboshi au ni walewale?
 
Back
Top Bottom