johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #41
Leo unamkataa Dr Gwajima?Hata bible inasema siku za mwisho kutakua na mitume wa uwongo
Leo unamkataa Dr Gwajima?Hata bible inasema siku za mwisho kutakua na mitume wa uwongo
Tuelimishe basi!tatizo mtu haelewi maana halisi ya Utume au Unabii
Yumo na Mshenga Dr Gwajima!Watakuwa ni matakataka/makanjanja
Hawa Mitume ndio wale wanaomiliki Benz na Chopper halafu wanaomba sadaka za 1,000 kutoka kwa masikini walioamkia maji na kushindia chips dume!Mitume wengine watasimikwa kwenye uchafuzi wa serikali za mitaa.
Hawa ni halali kwao kumuunnga mkono kwa usalama wa mali walizojilimbikizia.Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.
Dah idadi imepiku kwa mbali sana hata mitume aliokuwa nao KristoMitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.
Source gazeti la Uhuru!
Nenda vijiji maskini mikoani kaangalie utofauti wa maisha ya padri na waumini Lakini waumini hao malofa wa kutupwa ndio hutoa sadaka kumpa padri mwenye maisha mazuri na nyumba nzuri unashangaa Nini?Hawa Mitume ndio wale wanaomiliki Benz na Chopper halafu wanaomba sadaka za 1,000 kutoka kwa masikini walioamkia maji na kushindia chips dume!
Ndio wale wanaochukua maji ya DAWASA wanapulizia Jasmine halafu wanaita maji ya Uzima!
Nauliza tu, ndio mitume hao au kuna wengine?
Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.
Source gazeti la Uhuru!
Mitume na manabii wa uongo tena wapigaji wakubwa. Wanauzia watu maji ya shillingi mia tano kwa shilingi elfu kumi kwa madai ya kuwa wameyaambukiza upako.Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Mitume hao ambao ni viou wa kiroho wa makanisa tofauti tofauti wamesema kuwa wao pamoja na waumini wao wanaunga mkono utendaji kazi wa Rais Magufuli na wanamuombea kwa mwenyezi Mungu usiku na mchana.
Miongoni mwao ni Askofu Gwajima, Mtume Mwingira na wengine wengi.
Source gazeti la Uhuru!
Ndiyo hao hao na wameunda umoja na wale wenzao wa Gamboshi ili kuunganisha nguvu kuelekea 2020.Hawa Mitume ndio wale wanaomiliki Benz na Chopper halafu wanaomba sadaka za 1,000 kutoka kwa masikini walioamkia maji na kushindia chips dume!
Ndio wale wanaochukua maji ya DAWASA wanapulizia Jasmine halafu wanaita maji ya Uzima!
Nauliza tu, ndio mitume hao au kuna wengine?
Hao wa Gamboshi na hawa manabii wa baali wote ni wamojaNa wale waganga wa jadi toka sijui Gambosh waliotishia kuwa atayechukua fomu kushindana na mhishimiwa laithi 2020 watampoteza imekuwaje
Michanganyiko hii italipua bomu kuuuubwa sana mbeleni
Aisee, yaani Tanzania kumbe imebarikiwa hivi, kumbe tuna Mitume na Manabii zaidi ya 400 hapa Tanzania?Mitume na Manabii zaidi ya 400 nchini Tanzania wameunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.