Mitsubish Pajero GDI IO 1.8 5 Doors

Mitsubish Pajero GDI IO 1.8 5 Doors

Huntsman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
648
Reaction score
621
wanaoifahamu vyema hii gari nipeni mawazo na usahuri pia uzoefu wenu hasa kwa matumizi ya hapa Dar na kusafiri nayo mikoani je inafaa na matunzo yake ni vipi ili idumu? Naombeni ushauri na mawazo yenu kwani niko mbioni kuinunua Transmission ni Manual cc 1800 5Doors.

karibuni
 
nasikiaga huwa zinasumbuaga sana engine na gia box
 
C kweli hayo magari ni mzuri sana na yanatumia mafuta vizuri sana ila mafundi wetu ndio hayawajui mm ninayo na ina miana 20haijasumbua hata cku moja na mafuta naweka popote
 
Naloli nkamu???
 
mkuu yaani ninapata mawazo mkingamo kuhusu hii gari je mafundi wa uhakika wanapatikana? na je eti ni kweli engine na Gearbox huwa zinasumbua? ninayotaka kuagiza Engine yake ni 4G93 na transmission ni Manual kama una uelewa pia kuhusu service ya hizi gari ikoje ili idumu sana?
 
Mkuu kama vp tuwasiliane ucheki Land cruiser V8 Lexus,nipo Dar,black colour naiuza ktk affordable price
 
Mkuu sidhani kama nitaiweza operating cost zake embu weka specifications zake na bei yake mkuu tuone.
 
King'asti na Bigirita msaada wenu tafadhali
Mkuu, my honest opinion would be........dont buy that car.
hiyo gari inahitaji kuwa handled kama mtoto. proper service, mafuta masafi (kitu ambacho huku kwetu ni ndoto) na fundi anayeijua sawasawa.

ikianza kuleta issues za low compression na slow accellaration unaweza ukachanganyikiwa. then white smoke na miss....balaa.
lakini kwa fundi anayeifahamu anajua problem ilipo.

If you want a low maintenance 4WD vehicle, go for Rav4 old model....perfect. sio hizi zenye engine za D-4...vimeo hivyo.
 
nakuamiia kiongozi.
iatakiwa ufungue gereji ya kichinachina lakini ya kisasa lol
Mkuu, my honest opinion would be........dont buy that car.
hiyo gari inahitaji kuwa handled kama mtoto. proper service, mafuta masafi (kitu ambacho huku kwetu ni ndoto) na fundi anayeijua sawasawa.

ikianza kuleta issues za low compression na slow accellaration unaweza ukachanganyikiwa. then white smoke na miss....balaa.
lakini kwa fundi anayeifahamu anajua problem ilipo.

If you want a low maintenance 4WD vehicle, go for Rav4 old model....perfect. sio hizi zenye engine za D-4...vimeo hivyo.
 
hehehe, tena hata ukihitaji mke wa pili ama small hausi weeh nistue tu.
mahari ni kufanya service na kuninunulia magari ya maana
afu ujue nakupendaga siku nyingi sana basi tu:mwaaah::mwaaah:
Nitafungua tu...........utakuwa mteja wangu wa kwanza.
 
wanaoifahamu vyema hii gari nipeni mawazo na usahuri pia uzoefu wenu hasa kwa matumizi ya hapa Dar na kusafiri nayo mikoani je inafaa na matunzo yake ni vipi ili idumu? Naombeni ushauri na mawazo yenu kwani niko mbioni kuinunua Transmission ni Manual cc 1800 5Doors.
karibuni
Kama unaagiza nunua kaka wala usiogope ,mimi natumia Mitsubishi Pajero V45 GDI ,hazina shida ni maneno ya watu .Pia engine yake inatafuna mafuta kwa ustaarabu wa hali ya juu .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom