Mitsubish Pajero iO (GDI) inauzwa Tshs 6.0 Mil

Mitsubish Pajero iO (GDI) inauzwa Tshs 6.0 Mil

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,762
Reaction score
2,198
Kwema humu?
Namtangazia Mtu biashara kama ifuatayo;

Gari Mitsubish iO (GDI) inauzwa,
Make - Mitsubish
Model - Pajero iO (GDI)
Year - 1999
Color - Silver
Engine Capacity - CC 1,830
Transmission - Automatic
4WD - Optional
Location - Kijitonyama, Dar es Salaam

Bei ni Tshs 6,000,000/=
Mawasiliano ya Muuzaji 0684 477 150
GDI - Mbele & Kushoto.jpeg
GDI - Nyuma & Kushoto.jpeg
GDI - Siti za Mbele.jpeg
GDI - Siti za Nyuma.jpeg
 
Kwema humu?
Namtangazia Mtu biashara kama ifuatayo;

Gari Mitsubish iO (GDI) inauzwa,
Make - Mitsubish
Model - Pajero iO (GDI)
Year - 1999
Color - Silver
Engine Capacity - CC 1,830
Transmission - Automatic
4WD - Optional
Location - Kijitonyama, Dar es Salaam

Bei ni Tshs 6,000,000/=
Mawasiliano ya Muuzaji 0684 477 150 View attachment 824203View attachment 824206View attachment 824207View attachment 824208
Sio Mnunuzi ila huu uandishi nimeupenda, yaan details zote about kinachouzwa ziko wazi, ni mtu ashindwe tu bei yeye mwenyewe.
 
Sio Mnunuzi ila huu uandishi nimeupenda, yaan details zote about kinachouzwa ziko wazi, ni mtu ashindwe tu bei yeye mwenyewe.
Ahsante Mkuu,
Sioni haja ya kuficha ficha details maana hata Mteja akitaka kuiona ataviona tu. Heri niweke kila kitu wazi ili Mteja ajue ananunua nini inapunguza pia usumbufu wa kupigiana simu. Anaepiga ni anaetaka kuiona au kununua.
 
mkuu kamata 4.3M maana najua namie nahitaji kubakisha pesa ya kuweka vitu vichache vipya
 
mkuu kamata 4.3M maana najua namie nahitaji kubakisha pesa ya kuweka vitu vichache vipya
Kwa kua mi ni Mjumbe tu, ngoja niwasiliane na Mwenye nayo nitakufahamisha PM,
By the way waweza pia kumcheki mwenyewe kwa namba ile pale juu
 
Za weekend wakuu,
Nawafahamisha tu Gari bado ipo,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom