Akikuapapasa anakupapasa na panga hahahaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mtongozo wa Mkurya kwa Demiss, weeee dadaaaaaa......ebu kujaga hapa basi. Unajuaga mi nakupenda sana na ukinikatalia tu nakuchapa na hili panga hapa hapa. Ebu vua hiyo chupi yako na lala hapo chini kwenye mchanga, usijali kuungua na jua.
Huongo ndioUongooo
Nasikia wamasaiDemisss nasubiri mtongozo wa Maasai. Sikumbuki mmasai wangu alinitongozaje but nachojua ananipa pesa tu hata nimesahau mtongozo ulikuwaje [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahahah nakuja pm nikupe mtongozo wa kinyakyusaWanyakyusa wa kiume kwa kususa nawapa salute ila wanajua kupenda hasa ukimpata mwanajeshi
Kwetu South kabisa kwa Mandela alfu mm sina mpango wa kwenda uko nachagua hapa hapa kwa jiweSjawahi tongozwa na mngoni wenyewe wanaendaga kujichukulia kwaooo
Ukimaliza hapo unamwambia nekukundishe tha kaguro kambirikijo!! Mshana upo hapo?
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukimaliza hapo unamwambia nekukundishe tha kaguro kambirikijo!! Mshana upo hapo?
Nasikia wamasai
"Mama yeyooo nipe ile kitu inamesaa mwenzieee"
Marhaba, uhali gani?Bro shikamooo
Mnapenda kususaaaa