Mitongozo ya Wanaume hawa inavutiaa sana!

Mitongozo ya Wanaume hawa inavutiaa sana!

Leo tunatongozana kwa lafudhi ya kilugha inavutia sana .Mchague member yeyote umpe mtongozo kwa lafudhi ya lugha yeyote.
Demiss navutiwa na mitongozo hii.

1.MSUKUMA

"Unajuaga Demiss moyo wangu umekudondokea nakupendagaa sana "
"Nakupenda getegete nikupeleke Geita nina mang'ombe mengi unywe maziwa na mananasi wewe mtoto nakupendaga mtoto mZuri moyo wangu unadundadunda "

"Mtoto mweupe kama malaika geteee mama geteee nakupendaga mpaka basi nikupelekege kwetu Geita ukale mananasi gete Demiss mama "

2.WAKURYA

"Muraaa Demiss kesho uje kule magorofani Muraaa nakaa gorofa ya pili mura nyumba namba 3B muraaaaa haraka sana ujeee Muraaaaa"

"Nakupenda sana Muraaa nataka nikuoe muraaa mm sina maneno mengii muraaaaa nakupenda mura mm ni Mkuu wa kituo cha polisi Muraaaa so utakuja au hauji Muraaa?
"Unajua kama mkuu wa mkoa ni ndugu yangu Muraaa "Muraaa kesho basi Muraaaa Demiss.

3.WACHAGA ARACHUGA

"Unajua Demiss lile jiko langu la kitimoto pale Darajan Bar Manzese nataka nikupe uwe msimamizi unajua kama nakupenda sana nataka nikuoe tufanye biashara ya Duka Tegeta kwa sababu nakosa msimamizi ujue"

"Unajua chalii yangu Demiss mm nakuzimia toka long time kitambooo yaniii nakupendaaa kinyamaa mchizi wangu nakupendaaaa ile mbayaaaa chaliiii yanguuu"
"Nataka unipe mzigoo chali yanguuu.

Demiss Mama ntilie.
mura ni jina la mvulana. Kwa hivyo halitumiki kutongoza msichana. Mweseke ndilo la mabinti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom