Mitongozo ya Wanaume hawa inavutiaa sana!

Mitongozo ya Wanaume hawa inavutiaa sana!

Anyway Binti umesomamo kidogo.ira humfikii my douta.infwact yuko USA anachukua Llb.by the way r u married?usishangae sana hii ndio lugha ya kwetu kamachumu.
Hahahahahaha tishaaaa sana
 
Kutongoza ni sanaa tena kubwa sana, kitendo cha kumshawishi mtu mwenye akili zake timamu avunje shughuli zake aje kwako mjifungie chumbani wawili tu na asaule nguo zote sio kazi ndogo. Na wengine hawaishii hapo tu, wanamhamisha kabisa na makazi aondoke alipokuwa anaishi ahamie kwako tena akutumikie bila malipo,,, apike, afue, azae, afanye usafi wa nyumba, awe mlinzi wa nyumba.
Asanteni wanawake kwa kutuamini hata tunapowadanganya.
 
Duuuuu mura kwa mtoto wa kike? Huwezi ukawa serious
 
Kutongoza ni sanaa tena kubwa sana, kitendo cha kumshawishi mtu mwenye akili zake timamu avunje shughuli zake aje kwako mjifungie chumbani wawili tu na asaule nguo zote sio kazi ndogo. Na wengine hawaishii hapo tu, wanamhamisha kabisa na makazi aondoke alipokuwa anaishi ahamie kwako tena akutumikie bila malipo,,, apike, afue, azae, afanye usafi wa nyumba, awe mlinzi wa nyumba.
Asanteni wanawake kwa kutuamini hata tunapowadanganya.
Zamani ndo ilikua sanaa mkuu ila siku hizi ni usanii
 
Leo tunatongozana kwa lafudhi ya kilugha inavutia sana .Mchague member yeyote umpe mtongozo kwa lafudhi ya lugha yeyote.
Demiss navutiwa na mitongozo hii.

1.MSUKUMA

"Unajuaga Demiss moyo wangu umekudondokea nakupendagaa sana "
"Nakupenda getegete nikupeleke Geita nina mang'ombe mengi unywe maziwa na mananasi wewe mtoto nakupendaga mtoto mZuri moyo wangu unadundadunda "

"Mtoto mweupe kama malaika geteee mama geteee nakupendaga mpaka basi nikupelekege kwetu Geita ukale mananasi gete Demiss mama "

2.WAKURYA

"Muraaa Demiss kesho uje kule magorofani Muraaa nakaa gorofa ya pili mura nyumba namba 3B muraaaaa haraka sana ujeee Muraaaaa"

"Nakupenda sana Muraaa nataka nikuoe muraaa mm sina maneno mengii muraaaaa nakupenda mura mm ni Mkuu wa kituo cha polisi Muraaaa so utakuja au hauji Muraaa?
"Unajua kama mkuu wa mkoa ni ndugu yangu Muraaa "Muraaa kesho basi Muraaaa Demiss.

3.WACHAGA ARACHUGA

"Unajua Demiss lile jiko langu la kitimoto pale Darajan Bar Manzese nataka nikupe uwe msimamizi unajua kama nakupenda sana nataka nikuoe tufanye biashara ya Duka Tegeta kwa sababu nakosa msimamizi ujue"

"Unajua chalii yangu Demiss mm nakuzimia toka long time kitambooo yaniii nakupendaaa kinyamaa mchizi wangu nakupendaaaa ile mbayaaaa chaliiii yanguuu"
"Nataka unipe mzigoo chali yanguuu.

Demiss Mama ntilie.
Hahahahahaha
 
Kutongoza ni sanaa tena kubwa sana, kitendo cha kumshawishi mtu mwenye akili zake timamu avunje shughuli zake aje kwako mjifungie chumbani wawili tu na asaule nguo zote sio kazi ndogo. Na wengine hawaishii hapo tu, wanamhamisha kabisa na makazi aondoke alipokuwa anaishi ahamie kwako tena akutumikie bila malipo,,, apike, afue, azae, afanye usafi wa nyumba, awe mlinzi wa nyumba.
Asanteni wanawake kwa kutuamini hata tunapowadanganya.
Hahahahaha loh umetisha
 
Back
Top Bottom