Nimekumis, maana ni kitambo sana sijaingia JFSiyo kwa chekooo hilo
Swaumu inasemaje?Waoooooo
Jamani jamani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnapenda kususaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
GoodAhhahahaha msema kweli mpnz wa mungu mm mkristo
He he he he
Ngoja na mimi nijilengeshe kwa Mkurya mmoja anitongoze, nipime kama yaliyomo yamo.
Mm ni mchaga wa pekeeUwiiiiii wanaume wa kichagga wengi hawajui kutongozaaaa though ndo wanaoongoza kwa uzuri,ilaa wanajuaaa kuspoil .....na hela hawatoi cash ni boraa akununuliee chochote ila sio kukupa elaa