Ni shida sana mpaka tuwe wahenga wamkongojo kila aina ya mitongozo tunapitiaHahahahahahhahahahahahahaah dada
Ila wanaume wa mbeya kwa wake zao ni kila mtu ajitafutieMagimbi ya mbeyaaaa habari nyingine
Wanyakyusa wanaelewa somooo
Mji wenye mbwembwe zooote, kasoro ufukwe wa maji chumviCodes hizooooo kaka anguuuu ujueee mkoa gani huo ?
Haaaa haaaaaMitongozo imenoga humu ndani, siondoki hadi niione ya kutosha,
Asante ngoja nije kuchungulia nilikuwa na video call nazo hiziHahahahahah nipo kwenye uzi wa kiranga huko karibu
Mmmm ni shidaOooh nilkuwa sijui
Wala hujakosea kubeba mizigo milimani mpaka wana dumaaMji wenye mbwembwe zooote, kasoro ufukwe wa maji chumvi
Kumbe ndio zenuuuu?He he he he
Ngoja na mimi nijilengeshe kwa Mkurya mmoja anitongoze, nipime kama yaliyomo yamo.
Ngoja nijitoseMwanamke kutongozwaa kawaida mkuu utajuaje kama mkeo mzuri kama hatongozwii
Mkuu wakija mi simoWala hujakosea kubeba mizigo milimani mpaka wana dumaa