Mitongozo ya Wanaume hawa inavutiaa sana!

Wanyakyusa hahaha utasikia, Nakupenda sana Demiss na gule gusura gwako guzuri mweeee gunanichanganya moyoni je, umekubali kuwa na mimi je Demiss?

Mbombo ngafu....
Hahahahahahahha kweli kabisa hahahahahahaha umenikumbusha mnyakyusa wa Tegeta alikuwa ananihonga magimbi mpaka leo napenda sana magimbi nilikuwa siyajui
 
Hahah magimbi kutoka Tukuyu, hivi hakukuonga viazi na mafufu?
 
Hahahahahahahha kweli kabisa hahahahahahaha umenikumbusha mnyakyusa wa Tegeta alikuwa ananihonga magimbi mpaka leo napenda sana magimbi nilikuwa siyajui
Yaani unakumbuka magimbi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana
 
Back
Top Bottom